Nilivunja Ndoa Zangu 3 Kulipiza Kisasi (Kisa Cha Kweli)

Nzuri mno,ila kwetu sisi Wanaume imetuumiza,maana wengi wetu tupo kama Jones na Majid
 

Dah! Hatari sana... Kuna mambo yanasikitisha sana...

Chapter Closed....



Cc: mahondaw
 
mwanamke akikusumbua rudisha kwao.....unasamehe nini??.......jones kasamehe huku wahuni wanaendelea kuchakata.
 
Dah, iko vizuri hii story
 
Dah, inasikitisha sana, ila wanawake zetu wanapaswa kutuelewa kuwa tuna tamaa za kijinga, ila has nothing to do with mapenzi.
 
Hadithi nzuri sana.. Kuna hadithi moja inahusu mdada wa kilokole alibadilishwa na jirani hadi akaanza kuchepuka mwenye anaijua anitag maana siioni tena wakuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…