Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

Mjomba anauliza kama umeona utakasirika eti ni faragha. Sio dalili za ushoga kweli hizo?

Sasa kuna faida gani kuwa sehemu ya ndugu na jamaa kama huwezi hata kushauriwa kwenye masuala common tu. Si umweleze sababu za wewe kutofanya hivyo?
Asee, hivi hujui kuwa sisi wanaume hatupendi maswali ya hovyo???
 
yAan wew ndugu wa mama umeshawachukia sana,kainshu kadogo unakakuza sana
Ndugu yangu sisi wanaume tunapenda heshima sasa mjomba wako anapokuuliza maswali lakini akizungumza kama kukukosea heshima lazima uchukie
Mwanaume miaka 30 kumuuliza ameoa kwanza ni kumkosea heshima kwasababu tayari ni mtu mzima sasa kumuuliza hivyo nikanakwamba yeye hajitambui au ni zoba
 
Lakin kwenye jamii zetu za kiafrika kuulizwa hvyo ni kawaida

Kwa watu tulistarabika ndo tumeshagundua sio maswali mazur na hatupendi kuyauliza siku hz
 
Ndugu yangu punguza ubinafsi.

Unaonekana Una visenti kiasi ndio maana ipo dhahir umejaa dharau na ujivuni.

Umeoa au unaishi na hawara?

Unaweza kuoa na mjomba wako kabisa asijue?
 
Ndugu yangu punguza ubinafsi.

Unaonekana Una visenti kiasi ndio maana ipo dhahir umejaa dharau na ujivuni.

Umeoa au unaishi na hawara?

Unaweza kuoa na mjomba wako kabisa asijue?
Hapana ndugu yangu hayo mambo sina tatizo ni mtu anakukera kwa makusudi kwasababu tofauti labda kukuchukia ama lah
 
Kufanya hivyo amenikosea adabu kwasababu umri wangu sio mtu wa kuniuliza maswali hayo, afe na maisha yake na mimi ni deal na yangu chokochoko kwa wanaume hazifai, hayo maswali akaulize watoto wake
Kuna kipindi kuna mshua aliniuliza "Naruhusiwa kukuuliza kuhusu habari za kuoa?"

Nikamjibu hapana, huruhusiwi.

Issue ikaishia hapo hapo.

Angalau alikuwa na ustaarabu wa kuuliza kama anaruhusiwa kuuliza.
 
Kama ungeoa Kwa ndoa kabisa mjomba angejua tu.
Hii familia yangu ndiyo chanzo cha mahusiano yangu mchumba wangu wa kwanza kuvunjika, ndiyo maana nilipompata huyu sikurudia tena kosa la kuwaeleza
Mchumba wangu wa kwanza walimsengenya akaumia sana wakidai mzazi wake mmoja ni dini nyingine yule dada akaumia sana
 
Kuna kipindi kuna mshua aliniuliza "Naruhusiwa kukuuliza kuhusu habari za kuoa?"

Nikamjibu hapana, huruhusiwi.

Issue ikaishia hapo hapo.

Angalau alikuwa na ustaarabu wa kuuliza kama anaruhusiwa kuuliza.
Safi sana watu kama hao ndio tunaoendana
 
Nikisoma tu hapa naona wewe unashida kidogo. Wewe na mjomba Yako wote mnashida ya akili.

Sijaona swali lolote hapo la kumblock mtu. Lambda kama alikuwa anakuchana ukweli ndio maana ukaamua kumpiga block.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…