Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

Nilivunja urafiki na kumshushia heshima Mjomba wangu baada ya kugundua ni mtu mwenye tabia ya kuingilia faragha yangu

Nikisoma tu hapa naona wewe unashida kidogo. Wewe na mjomba Yako wote mnashida ya akili.

Sijaona swali lolote hapo la kumblock mtu. Lambda kama alikuwa anakuchana ukweli ndio maana ukaamua kumpiga block.
Unajua kwa sisi wanaume tena mtu mzima kuulizwa hivyo nikana kwamba sijitambui au mm ni zoba mpaka nifundishwe kuoa au kuzalisha?
Kwangu ni sawa na kunikosea adabu
 
Kuna kipindi kuna mshua aliniuliza "Naruhusiwa kukuuliza kuhusu habari za kuoa?"

Nikamjibu hapana, huruhusiwi.

Issue ikaishia hapo hapo.

Angalau alikuwa na ustaarabu wa kuuliza kama anaruhusiwa kuuliza.
Na yeye alikuona wewe km punga?
 
Unajua kwa sisi wanaume tena mtu mzima kuulizwa hivyo nikana kwamba sijitambui au mm ni zoba mpaka nifundishwe kuoa au kuzalisha?
Kwangu ni sawa na kunikosea adabu
Uwe unatembea na familia Yako kama hutaki maswali.

Unashida sehemu. Ifanyie kazi Ili upate afya ya akili..upunguze makasriko ya ajabu.
 
Na yeye alikuona wewe km punga?
Hapana, ilikuwa ni utashi wa kawaida wa wazazi wengi wa Kiafrika tu.

By the way mimi si punga ila kuwa punga ni haki ya kibinadamu tu, ni lifestyle ya mtu tu, si kitu cha kushikia bango kihiivyo kwa watu wanaoelewa dunia.

Ni huko tu kwa Watalibani mnakoona kuwa punga ni jambo la kushikia bango hivyo.

Yani mtu anayetaka kuwa punga ana haki ya kuwa punga kama wewe usiyetaka kuwa punga ulivyo na haki ya kutokuwa punga.

Na ukiingilia haki yake hiyo ya kuwa punga unafungua mlango na wewe usiyetaka kuwa punga ulazimishwe kuwa punga.
 
Shida inaanza kwenye namna alivyouliza hilo swali, kuna ile namna ukiisikiliza tu sauti ya muulza swali unajua huu ni umbea na unafiki. Na ipo namna ukiulizwa swali hilo hilo unaona ni kawaida kabisa.

Namuelewa sana mleta uzi ila familoa sio jambo binafsi hasa ukishakuwa nayo tayari jambo binafsi ni namna ya kuendesha mambo kwenye hiyo familia yako.

Sababu gani ukishakuwa na familia sio jambo binafsi ni pamoja siku ukifariki hapo au atakapofariki mwanafamilia wako hautaomboleza wenyewe bali jamii, ndugu jamaa na marafiki pia.

Jambo pekee unaweza kuamua wewe binafsi na familia yako ni labda ule nini, uvae nini na mambo kama hayo.
 
Unajua kwa sisi wanaume tena mtu mzima kuulizwa hivyo nikana kwamba sijitambui au mm ni zoba mpaka nifundishwe kuoa au kuzalisha?
Kwangu ni sawa na kunikosea adabu
Kwenye majibu yako mengi unatumia neno #sisi wanaume#
Mwanaume wa kweli huwa hahitaji sana kujitaja taja. Nadhani umeelewa
 
Shida inaanza kwenye namna alivyouliza hilo swali, kuna ile namna ukiisikiliza tu sauti ya muulza swali unajua huu ni umbea na unafiki. Na ipo namna ukiulizwa swali hilo hilo unaona ni kawaida kabisa.

Namuelewa sana mleta uzi ila familoa sio jambo binafsi hasa ukishakuwa nayo tayari jambo binafsi ni namna ya kuendesha mambo kwenye hiyo familia yako.

Sababu gani ukishakuwa na familia sio jambo binafsi ni pamoja siku ukifariki hapo au atakapofariki mwanafamilia wako hautaomboleza wenyewe bali jamii, ndugu jamaa na marafiki pia.

Jambo pekee unaweza kuamua wewe binafsi na familia yako ni labda ule nini, uvae nini na mambo kama hayo.
Nimekwelewa sana mkuu
 
Kwenye majibu yako mengi unatumia neno #sisi wanaume#
Mwanaume wa kweli huwa hahitaji sana kujitaja taja. Nadhani umeelewa
Kwahiyo nisijivunie uanaume wangu kwa kuutaja sio, unanifundisha woga na unyonge ndugu yangu
 
Hapana, ilikuwa ni utashi wa kawaida wa wazazi wengi wa Kiafrika tu.

By the way mimi si punga ila kuwa punga ni haki ya kibinadamu tu, ni lifestyle ya mtu tu, si kitu cha kushikia bango kihiivyo kwa watu wanaoelewa dunia.

Ni huko tu kwa Watalibani mnakoona kuwa punga ni jambo la kushikia bango hivyo.

Yani mtu anayetaka kuwa punga ana haki ya kuwa punga kama wewe usiyetaka kuwa punga ulivyo na haki ya kutokuwa punga.

Na ukiingilia haki yake hiyo ya kuwa punga unafungua mlango na wewe usiyetaka kuwa punga ulazimishwe kuwa punga.
Kwa hio huko Talbani wanaruhusu wanaume wapigwe miwa ya haja kubwa si ndio?
 
Kusema ukweli umekosea mjomba ni familia kutaka kujua ishu zako ni kawaida sana Kuna Mambo sio Siri no information za kawaida ndio maana hata facebook watu wanaweka taarifa zao . Kujua Kama umeoa unawatoto wa ngapi mkeo lazima wamuone na kumjua physically kujua unafanya kazi gani yaani taasisi gani kujua unaishi wapi yaani address ya kwako hizo sio Siri no taarifa za kawaida kabisa kujidai uchoyo na kukosa umoja na mshikamano ndio vinavyotufanya tuone Kama hizo ni privacy.
Walau Siri ni mipango yako ya maisha unajenga nyumba imeishia sehemu gani. Unafanya biashara kipato chako ni kiasi gani changamoto za ndoa..nk hata namba ya Simu ya mkeo huwezi ukaificha eti ndugu wasiijue
Kuna vingi vya kufix ndugu wangu kwanza badilisha mtazamo.
Ndugu zangu kuishi Afrika lazima uweze kuvumilia kero za watu lasivyo patakushinda
Kero kubwa ya Afrika ni watu kutaka kujua siri zako na mambo binafsi yanayohusiana na faragha

Labda nianze kwa kujielezea kiasi, mimi ni baba wa watoto wawili wa kwanza ana miaka mitano wa pili miaka miwili ninaishi kwangu na mke na watoto

Mimi ni mtu ninayependa sana faragha na ni mtu ninayeheshimu kila mtu lakini kwa sharti moja, huwa sipotezi muda na siheshimu mtu yeyote asiyeniheshimu

Mimi ni mtu nisiyependa uchokozi wa aina yeyote na huwa sipendi kuchokozwa inapotokea reaction yangu inakuwa mbaya sana na mtu huyo anaweza kujuta kwa uamuzi nitakaochukua

Maisha yangu yapo katika faragha na huwa sipendi kabisa umbea kuwa na urafiki na mtu mwenye kidomodomo, mtu wa kusema mambo, kaulimbiu yangu utakachokiona hapa kiishie hapa hapa nisisikie kwa mtu

Baada ya kugundua tabia mbaya za ndugu zangu za midomo mirefu wamekuwa ni watu wasiofahamu maisha yangu kwao imekuwa ni fumbo

Mimi nina wajomba wanne, hawa wajomba wanne nawaheshimu sana tangu nazaliwa, hawa watatu kila mmoja ana maisha yake natangu niwafahamu hawajawahi kunikwaza wala sijawahi kuwakwaza

Huyu mmoja ana familia kijijini lakini anaishi mjini kwa dada yake
Kwa dada yake yupo yeye na mama yao ambaye ni bibi yangu pamoja na yeye. Dada yake alimpeleka kwake ili afanye kazi ana kama miaka 50

Huwa mara kwa mara ninapotembelea huo mkoa lazima nimsalimie dada yake ambaye ni mama mdogo wangu kwenye hiyo familia yao

Tangu zamani nikienda kwenye hiyo familia na chochote mkononi wanafurahi sana isipokuwa yeye anaishia kunikata jicho la wivu

Safari mbili za mwisho kwenda pale alinitazama vibaya sana kwa macho ya wivu
Nilipoondoka akathubutu kunipigia simu akiniuliza kama nimeoa,
Sikumjibu chochote kwasababu sipendi umbea nachukia sana maswali ya kimbea

Safari ya mwisho kwenda pale baada ya kuondoka akanipigia simu akanambia nizae watoto kwasababu dunia ya leo imeharibika sana wanaume wanaolewa
Baada ya maneno hayo machafu sikujibu

Nilipokata simu nikajiuliza huyu mtu mbona kama amekuwa wa hasidi katika maisha yangu?
Watu kuharibika inahusiana nini na maisha yangu?
Mke wangu ninayemuoa mimi kwa faida zangu anamhusu nini yeye?
Anayetunza mke wangu ni mimi au yeye?
Watoto wangu wanamuhusu nini mtu mwingine?
Mbona ni maisha yangu binafsi?
Mbona wanaume hatuna tabia za chokochoko?

Nikagundua huyu ni mtu wa chokochoko

Baada ya hapo nikamlima Block ya nguvu naendeleza urafiki na wale tunaoheshimiana
 
Mimi ni yule mjomba wako mkubwa nlimwambia dogo wewe papai ndo anataka athibitishe
 
Kwa hio huko Talbani wanaruhusu wanaume wapigwe miwa ya haja kubwa si ndio?
Taliban ndio wanakataza.

Mwanamme akitaka kupigwa pipe, apigwe tu, wewe mtu baki inakuuma nini?

Mtu baki anayemuingilia katika uhuru wake huo anamuonea wivu unataka apigwe pipe yeye?
 
Huyo ni kijumbe tu baada ya kikao akatumwa yeye akufuatilie.Na bado tutakufuatilia
 
Huyo ni kijumbe tu baada ya kikao akatumwa yeye akufuatilie.Na bado tutakufuatilia
Apelekee wajinga wenzake huko huo upuuzi wake mm sikai na majomba chokochoko kama dada zao
Mm wajomba ninaowataka ni wale wenye heshima mm ujinga sitaki
 
Ulioa bila kumshirikisha mjomba?
Ulioa kisirisiri( faragha)
 
Ulioa bila kumshirikisha mjomba?
Ulioa kisirisiri( faragha)
Wao ndio chanzo cha mahusiano yangu mchumba wangu wa kwanza kuvunjika walimsengenya akaumia sana wakidai mzazi wake ni dini nyingine nilipompata huyu sikutaka ujinga na mtu tena kila mtu afe na maisha yake
 
Back
Top Bottom