Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
NDo maana nashangaaga huku mnajitutumuaa...nakwambia kutoa talaka ni kitu cha juu mno mno .tunayashuhudia mitaani wanaume wakiwa dhoofu lihali ulimi nje..wanaune wengi niwana hofu sana nashangaaga huku mnajitutumua..hao wanaolia hata jana nimeshuhudia shem wangu anamlilia mkewe..mkewe kakaza fuvu..unadhan atamheshim kutwa mume kujiliza kijinga jinga? In real life mko hivyoUanaume wetu unakwisha, we unafikiri hapo huyo mke atawazungumziaje wanaume?!!!! Mwishowe dunia yote itaona ndo tupo hivyo....kwamba tunababuliwa tu na wake zetu na kuanza kutuundia vyama vya kijingajinga vya kutetea wanaume!
Umewaza uchawi lakini mapenzi ni zaidi ya uchawi na nyumba hizi zinaficha mengi,Sawa....
Wakati mwingine mtu akishawekwa "tungulini"...
Sasa unalishwa maji ya matalisimu katika sharubati,chakula,maji ya kuoga....
Darini matalisimu..
Uvunguni matalasimu...
Kizingitini yamefukiwa...
Maliwato yapo...
Nywele ziko katika kibubu cha mganga...na juu yake liko jina..."ukipungua tu" simu imepigwa na fedha katumiwa amalizie hukohuko bila ya bibie kwenda...circle inajirudia [emoji1787]
Unaachaje KULIA KAMA TOTO na kumsotea magoti yeye na wazee ?!!
Dunia hii...
Haijaanza jana hii..haaatareeeee
Hahahaha atakua anapewa 2Γ3 ful doziAnayopewa chumbani unayajua?
Kua uyaone sio maghorofa.
kama tam bwana lazima kuililia thio dhambiNDo maana nashangaaga huku mnajitutumuaa...nakwambia kutoa talaka ni kitu cha juu mno mno .tunayashuhudia mitaani wanaume wakiwa dhoofu lihali ulimi nje..wanaune wengi niwana hofu sana nashangaaga huku mnajitutumua..hao wanaolia hata jana nimeshuhudia shem wangu anamlilia mkewe..mkewe kakaza fuvu..unadhan atamheshim kutwa mume kujiliza kijinga jinga? In real life mko hivyo
Hahahahahahaha baelezee hao, wanajitia ugumu wa bure wakati ndani wanafulishwa chupi za bleed, wengine bado watoto humu hawajakutana na madhila ya dunia, ndio maana wanamuona mwamba fala.Kuta za nyumba zinaficha mengi.
Anaejifanya mjanja nje unaweza kuta anapigwa makonzi ndani na mkewe na hata kwa crane hamuachi huyo mwanamke.
Unaweza staajabu mtu anavimba mitaani kumbe ni ruzuku toka kwa mkewe. Sasa mtoa ruzuku akidai talaka hata kama ni wewe hutolia??
Maswala ya mapenzi hayana formula maalum, kila mtu yanamchukua kwa design yake. Kamwe usimcheke mwenzio anaetaabika na mapenzi, hayana mmoja.
Kuna jamaa alikuwa anajifanya mgumu, vyuma vingi, gangster la maana. Alikuja pigwa tukio la mapenzi akawa anasikiliza na kuimba nyimbo za Lady Jaydee huku analia.
Vuta picha bouncer linalia huku linaimba kwa hisia nyimbo ya Jaydee, Machozi.
Ni kweli kabisa mkuu..ila sisi tunawadharau zaidi hatuoneshi utu tena ..kama tam bwana lazima kuililia thio dhambi
mi thijal bwana tamu mnato nitaipata wap bwana wacha nilie tuNi kweli kabisa mkuu..ila sisi tunawadharau zaidi hatuoneshi utu tena ..
Teynaaaaaaaaaaaaaar [emoji38]Hahahaha atakua anapewa 2Γ3 ful dozi
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]Umewaza uchawi lakini mapenzi ni zaidi ya uchawi na nyumba hizi zinaficha mengi,
Kabla hujafa, omba ukutane na mtu akupe mapenzi na mahaba.
Na hukumlilia hata mmoja!?[emoji15][emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
We dada weeee...
At 30's tena baba wa femili...nimekutana na wengi....wa mapenzi makali ya hivihivi na wale waongezeao ndere+matalisimu....
Huyo mwamba si bure...
#Experience is the mother of all[emoji120]
Hii theory haina application Kwa watu wote...Anayopewa chumbani unayajua?
Kua uyaone sio maghorofa.
Nimefadhaika, nimehuzunika, nimekasirika, nimeshangaa, nimechoka na nimekata tamaa kabisa!!
Yaani jamaa analia 'live' mbele ya wazee waliokuja kusuluhisha mgogoro wao na mkewe ambaye anadai talaka aondoke.........analia huku amempigia magoti mkewe (huku wazee wakishuhudia) akimsihi asiondoke. Dah!!!!
Naunga mkono hojaHakuna cha upendo wala nini, huyo jamaa yuko chini ya ulinzi wa malimbwata, hiyo iliwah kumtokea Rafiki yangu mmoja badae akaja kusaidiwa na Mjomba wake.
Ni kwamba, wanawake wanatuzidi sana wanaume katika mambo ya kiroho kwenye ndoa, na ndio maana wao huchelewa kufa, hv mtu kakulisha madawa ya kukufunga akili popote ulipo ni kumuwaza yeye anatembea nje unaletewa taarifa unapuuza (ndivyo malimbwata yalivyo), akikufanyia visa say amekunyima tendo miez hata 6, hiyo presha, msongo wa mawazo unakutokaje?
Huyo jamaa angefunguliwa hivyo vifungo asingemtazama huyo mwanamke mara 2, angetoa na talaka papo hapo.
Maalim Nash_ anawimbo anaimba usipagawe...usichachawe anapanga Mungu YOTE ni mitiani.....Jamaa alikuwa safarini na mkewe wanatoka Arusha kuelekea Mbeya, muda mwingi mkewe yupo busy na simu anachat wakati mwanaume anaendesha gari yao ndogo wapo wawili tu.
Wamefika maeneo ya Mtera machakani, mke akamwambia mumewe simama nataka kuchimba dawa. Mume kasimamisha gari, mwanamke kashuka katokomea vichakani kwenda kuchimba dawa.
Unaambiwa mume alisubiri zaidi ya masaa, mkewe hatokei na akipiga simu yake mwanzo ilikuwa inaita haipokewi halafu baadaye ikawa haipatikani.
Ikamlazimu mume kwenda kuripoti kituo Cha polisi Mtera wakati huo anawasiliana na ndugu jamaa na marafiki. Baada ya muda jamaa zake walioko Iringa mjini wakampigia simu kumwambia mkewe ameonekana Iringa mjini akiwa na kijana mmoja shombe shombe wa kiarabu.
Hili lilimtokea baada ya kuwa kwenye ugomvi wa muda mrefu baina ya mume na mke, mke akidai talaka kwa kipindi kirefu bila mume kuridhia jambo hilo.
Kijana shombe shombe wa kiarabu alikuwa ni hawara wa yule mwanamke kwa zaidi ya miaka 2 ( kwa mujibu wa marafiki wa mwanaume ~mume wa yule mwanadada).
Jamaa hakuamini kilichomtokea na ndoa yao ya miaka kadhaa na watoto 3 iliishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utamu upo mwilini mwako anasema kijana mmoja wa huko nanjilinji ludewa...Hujawahi kupewa mahaba weye, tulia wenzio walilie utamu.
Hawa vagna group sio wa kipole pole πππAnayopewa chumbani unayajua?