mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.
Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa, nilichofanya sasa?
Usiku wa manane nikiwa na makamanda wangu tuling'oa na kufyeka shamba la yule mkora, hatuuacha hata mche mmoja, ilikuwa kilo na kusaga meno