dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Jamaa Wenda anakuchunguza kwa mkeo Kisha mkeo atasema kuwa kipindi hcho uliamka usku wa manane na ulirudi nyumbni umechafuka mno
Hapo ndio utajuwa hujui
Hapo ndio utajuwa hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila mmoja nilimpa adhabu yake,wote ni wasaliti tu,huyu nilifyeka nyanya huyu nikamtimuaWanaume mabwege ndio wewe
Mwanamke akikucheat yeye ndiye mwenye makosa sio mwanamume aliyetoka naye maana anajua yuko committed na mtu wake anakubalije kumvulia chupi mwanamume mwingine?
Mwanamke akikucheat ni jambo la kushukuru Mungu amekuonyesha kuwa hakukupenda wala kukuheshimu
Huwa tunawapiga chini wanawake wasaliti mazima. Wajinga hudeal na mwanamume aliyemtomba
Okay kwahiyo mwanaume kupiga sound hana makosa ila mwanamke kuvua nguo ndio ana makosa, naamini mwanaume asingemtongoza huyo mwanamke basi mwanamke asingemfuata kumlazimisha, hizi kauli zenu za kipuuzi ndio zinafanya wanaume muache kuwajibika kwa makosa yenu na badala yake kila kitu mnawabebesha mizigo wanawakeHakuna anayesifiwa hapo dada yangu. Huyo mdada hajabakwa kapigwa sound mpaka kavua chupi. Hakuna mwanamke humo
Ww ni bichwa bwegeMiaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.
Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa, nilichofanya sasa?
Usiku wa manane nikiwa na makamanda wangu tuling'oa na kufyeka shamba la yule mkora, hatuuacha hata mche mmoja, ilikuwa kilo na kusaga meno
Kuna wanaume aina mbili watembea na wake za watu.Ok ukishafanya hivyo huyo mwanamke utamsamehe na kuendelea naye kwenye mahusiano?
Wote wanamakosa ila makosa makubwa yapo kwa Mwanaume,dunia nzima inatambua wanawake ni weak,sasa kama Mwanamke unajua fika ni mke wa MTU kwa nini uendelee kumtongoza??Wanaume mabwege ndio wewe
Mwanamke akikucheat yeye ndiye mwenye makosa sio mwanamume aliyetoka naye maana anajua yuko committed na mtu wake anakubalije kumvulia chupi mwanamume mwingine?
Mwanamke akikucheat ni jambo la kushukuru Mungu amekuonyesha kuwa hakukupenda wala kukuheshimu
Huwa tunawapiga chini wanawake wasaliti mazima. Wajinga hudeal na mwanamume aliyemtomba
Tuassume lolote kati ya hayo kuwa ni either mwanaume ndio kamtongoza mwanamke au vice versa, bado swali linakuja inakuwaje katika tendo hilo hilo moja mmoja asifiwe na mwingine atukanwe, ilitakiwa mwanaume afanye na nani na mwanamke afanye na nani ili kila mmoja asionekana na makosa hapokwa hapa inakua ngumu kwasababu labda mwanamke ndo amemtongoza aliye cheat nae
Inategemea hapoOkay kwahiyo mwanaume kupiga sound hana makosa ila mwanamke kuvua nguo ndio ana makosa, naamini mwanaume asingemtongoza huyo mwanamke basi mwanamke asingemfuata kumlazimisha, hizi kauli zenu za kipuuzi ndio zinafanya wanaume muache kuwajibika kwa makosa yenu na badala yake kila kitu mnawabebesha mizigo wanawake
Sawa mkuu nakubaliana na wewe, lakini mbona mambo huwa tofauti pale ambapo mwanaume anamdanganya mwanamke kuwa yuko single kumbe ni mume wa mtu, baadaye anatukanwa mwanamke kuwa kaiba mume wa mtu badala ya kutukanwa huyo mwanaume kwa kumdanganya mwanamke kuwa yuko singleInategemea hapo
Kuna mwanamke unakutana naye unapiga sound unamuuliza uko single anakujibu yes. Kumbe mke wa mtu. Siku ya siku yanakukuta.
scenario ya pili utabidi udili na wote ikiwa anayekufanyia hivyo ni mtu anajua fika huyo ni mke wako..mfano nduguyo, rafiki yk, mfanyakazi mwenzako au jirani yako au hata mfanyakazi mwenza na mke wako (usije kusema huyu mfanyakazi mwenza asijue kwamba ameoloewa)
atakuambia shemeji hana kosa huenda jamaa alitumia kiziziVp na shemeji ukamfanya nn
dah, hii ngumu aiseeTuassume lolote kati ya hayo kuwa ni either mwanaume ndio kamtongoza mwanamke au vice versa, bado swali linakuja inakuwaje katika tendo hilo hilo moja mmoja asifiwe na mwingine atukanwe, ilitakiwa mwanaume afanye na nani na mwanamke afanye na nani ili kila mmoja asionekana na makosa hapo
Mwanamme aliemnini?Wanaume mabwege ndio wewe
Mwanamke akikucheat yeye ndiye mwenye makosa sio mwanamume aliyetoka naye maana anajua yuko committed na mtu wake anakubalije kumvulia chupi mwanamume mwingine?
Mwanamke akikucheat ni jambo la kushukuru Mungu amekuonyesha kuwa hakukupenda wala kukuheshimu
Huwa tunawapiga chini wanawake wasaliti mazima. Wajinga hudeal na mwanamume aliyemtomba
Asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwenguMiaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.
Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa, nilichofanya sasa?
Usiku wa manane nikiwa na makamanda wangu tuling'oa na kufyeka shamba la yule mkora, hatuuacha hata mche mmoja, ilikuwa kilo na kusaga meno
Okay kwahiyo mwanaume kupiga sound hana makosa ila mwanamke kuvua nguo ndio ana makosa