Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Mkuu rejea comment yako ya kwanza ulisema mwanamke akikucheat ujue mwenye makosa ni mwanamke, sawa labda nikuulize vipi na mwanaume naye akicheat mwenye makosa anakuwa nani, labda nitaeleweka ninachotaka kusemaHuu uzi unamhusu mwanamke msaliti ndio maana tunazungumzia upande huo.