Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kuna wanaume aina mbili watembea na wake za watu.
1. Wale ambao hujisikia ni wanaume zaidi pale wanapotembea na mke wa mtu. (Wengi yanaowakuta ni wa iana hii, na huwa ni wajinga wajinga sana)
2. Wale ambao hata hawana habari kuwa kaolewa, wao wanachotaka ni ngono. (Hawa ni mara chache kupatwa na mabaya maana huwa wanakula wanajifuta, hawana muda na mapenzi)
Yeyote kati ya hao lazima amtongoze kabla hajasuuza rungu.
Kwa hiyo mwisho wa siku mwanamke mwenyewe msimamo wake ndio utafanya kazi iwe rahisi au ngumu kwa mtongozaji.
Ndio maana katika kisa hiki lazima lawama ziende kwa mwanamke hana msimamo
Kwa hiyo mwisho wa siku mwanamke mwenyewe msimamo wake ndio utafanya kazi iwe rahisi au ngumu kwa mtongozaji.
Ndio maana katika kisa hiki lazima lawama ziende kwa mwanamke hana msimamo