Nilivyofyeka shamba la nyanya ekari moja la jamaa aliyekuwa akinichapia mpenzi wangu

Kwanza nakupongeza kwa maamuzi uliyochukua ya kuharibu shamba lake, Hongera sana! kwa atakaekuona umekosea huyo hajawahi kuonja machungu ya kuchapiwa!
Ngoja nami nitoe ushuhuda wangu baada ya kuthibitisha kuna mtu anatembea na mke Wangu, tena hakua mtu wa mbali na pale nnapokaa! Maamuzi niliyochukua ni kuwahi ktk ushirikina.
1. Mganga wa kwanza alikuwa Rafiki wa Mjomba huyu alinambia tumpige kisomo ili jamaa apagawe! tukapiga kisomo cha masaa matatu huku tukimtaja jina lake na kuchoma vitu flani ktk Moto, huyu anapatikana Dar.
2. Mganga wa pili huyu ni Mmakonde anatokea Msumbiji huyu alinambia jambo la kwanza ni kumfunga mirija yake yote ya shilingi halafu, tunamseti Mwanamke anakuwa Mtulivu ndani ya ndoa hasa kama alikuwa na tabia za kimalaya.
3. Mganga wa Tatu huyu anatokea Maheha ipo Tandahimba huyu alinambia tumpige jini ahangaike na Dunia, tukamseti njiwa wa rangi ya mawingu akarushwa kutoka maheha kuja alipo mtesi wangu nikaambiwa itaxhukua siku 7, njiwa kufika na atamvamia jamaa ktk mazingira ya Ajabu.
4. Mganga wa Nne yeye alinipa option ya kuchagua nataka iweje, nikamwambia tumpe mateso ahangaike na Dunia ikiwezekana aje aniombe RADHI akiwa anatambaa ukasetiwa mzinga mmoja wa hatari, ile dawa niliagizwa nihakikishe mbwa anaila, nilipopata utulivu nikanunua utumbo ule utumbo wa bomba nikaizamisha ile dawa, nikamtafuta mbwa alipo nikaongea na mwenya mbwa nikampoza buku5 nikampa mbwa ule utumbo kazi ikaisha, na dawa zingine nikaxhoma saa saba ya Usiku, matokeo ya dawa ya mbwa muhusika anakuwa na tabia kama ya mbwa ya kutoa ulimi muda wote kama vile afanyavyo Mbwa!
Kufuoisha Story nilitumia waganga tofauti tofauti Sita, na nilipata Uchungu na hasira kwa sababu Mwanamke niliyenae nimezaa nae watoto watatu, na kuna kibarua nimemtafutia! nikaona kuna Ugumu wa kumuacha kwa kuwa wanangu watapata tabu ya kimalezi, pia nikawa na option nyingine ya kuongeza Mke wa pili ambae nahisi anaweza kuwa faraja yamgu maana yule wa kwamza nahisi hana Upendo nami.

Nilisahau kuwajulisha yule jamaa niliyemuendea kwa waganga ili kumroga! hadi sasa jamaa yupo yupo hajielewi anatembea sana kwa miguu akiwa anaongea peke yake barabarani! pia pale alipokuwa anaishi karibu yangu amehama! naendelea kumfuatilia kujua hatma yake ili kama haikkolea nikazimue tena hadi kieleweke ili Moyo wangu ufurahi!
 
Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.

Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.

Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa, nilichofanya sasa?

Usiku wa manane nikiwa na makamanda wangu tuling'oa na kufyeka shamba la yule mkora, hatuuacha hata mche mmoja, ilikuwa kilo na kusaga meno
Sasa nyanya ndio zilizokut00mbea mkeo. Ulitumia emotions na sio logic. Ungedili naye kwa akili mno mkuu. Sasa Ila kwani si alishamkula kwani alitapika alichokula. Mkeo ndio akawa mdhaifu kwa mwamba. Wanawake wanapenda wanaume wenye mafanikio ama ma hustlers.so ulitakiwa uhaso zaidi yake,na ataliwa na mwingine mwenye kuuza Tenga la nyanya laki mbili. Na atavuna Tenga alfu kumi.ataweka walinzi Sasa hapo utafanyaje
 
Si kashampiga chini!?
 
NYanya ndio xilikuwa zinamtia kiburi
 
Kwanza nakupongeza kwa maamuzi uliyochukua ya kuharibu shamba lake, Hongera sana! kwa atakaekuona umekosea huyo hajawahi kuonja machungu ya kuchapiwa!
Ngoja nami nitoe ushuhuda wangu baada ya kuthibitisha kuna mtu anatembea na mke Wangu, tena hakua mtu wa mbali na pale nnapokaa! Maamuzi niliyochukua ni kuwahi ktk ushirikina.
1. Mganga wa kwanza alikuwa Rafiki wa Mjomba huyu alinambia tumpige kisomo ili jamaa apagawe! tukapiga kisomo cha masaa matatu huku tukimtaja jina lake na kuchoma vitu flani ktk Moto, huyu anapatikana Dar.
2. Mganga wa pili huyu ni Mmakonde anatokea Msumbiji huyu alinambia jambo la kwanza ni kumfunga mirija yake yote ya shilingi halafu, tunamseti Mwanamke anakuwa Mtulivu ndani ya ndoa hasa kama alikuwa na tabia za kimalaya.
3. Mganga wa Tatu huyu anatokea Maheha ipo Tandahimba huyu alinambia tumpige jini ahangaike na Dunia, tukamseti njiwa wa rangi ya mawingu akarushwa kutoka maheha kuja alipo mtesi wangu nikaambiwa itaxhukua siku 7, njiwa kufika na atamvamia jamaa ktk mazingira ya Ajabu.
4. Mganga wa Nne yeye alinipa option ya kuchagua nataka iweje, nikamwambia tumpe mateso ahangaike na Dunia ikiwezekana aje aniombe RADHI akiwa anatambaa ukasetiwa mzinga mmoja wa hatari, ile dawa niliagizwa nihakikishe mbwa anaila, nilipopata utulivu nikanunua utumbo ule utumbo wa bomba nikaizamisha ile dawa, nikamtafuta mbwa alipo nikaongea na mwenya mbwa nikampoza buku5 nikampa mbwa ule utumbo kazi ikaisha, na dawa zingine nikaxhoma saa saba ya Usiku, matokeo ya dawa ya mbwa muhusika anakuwa na tabia kama ya mbwa ya kutoa ulimi muda wote kama vile afanyavyo Mbwa!
Kufuoisha Story nilitumia waganga tofauti tofauti Sita, na nilipata Uchungu na hasira kwa sababu Mwanamke niliyenae nimezaa nae watoto watatu, na kuna kibarua nimemtafutia! nikaona kuna Ugumu wa kumuacha kwa kuwa wanangu watapata tabu ya kimalezi, pia nikawa na option nyingine ya kuongeza Mke wa pili ambae nahisi anaweza kuwa faraja yamgu maana yule wa kwamza nahisi hana Upendo nami.

Nilisahau kuwajulisha yule jamaa niliyemuendea kwa waganga ili kumroga! hadi sasa jamaa yupo yupo hajielewi anatembea sana kwa miguu akiwa anaongea peke yake barabarani! pia pale alipokuwa anaishi karibu yangu amehama! naendelea kumfuatilia kujua hatma yake ili kama haikkolea nikazimue tena hadi kieleweke ili Moyo wangu ufurahi!

Dah mwamba Wewe kweli kauzu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuh hii jinsia huwa mnanishangaza sana yani mnajisifu kutumia logic lakini mnashindwa kutambua hiyo logic kwenye mambo mepesi kama haya sasa sijui huwa mnaitumia wapi hiyo logic, yani tendo linalohusisha jinsia mbili na ambalo haliwezi kukamilika bila hizo jinsia mbili kushirikiana ila cha ajabu eti baada ya tendo jinsia moja inasifiwa nyingine inatukanwa, sasa kwa mfano hapo inakuwaje mwanamke ndio awe na makosa na mwanaume asiwe nayo yani ilitakiwa mwanamke afanye na nani na mwanaume afanye na nani ili kila mmoja asiwe na makosa kwa upande wake
Mwenye makosa kwa huyo jamaa aliechapiwa ni huyo mpenzi wake na sio huyo mume mwenzie.

Huyo alietiwa hasara hana kosa huenda hata alikua hajui kama huyo mwanamke ana mtu labda nae ni muhanga wa uongo wa huyo mwanamke. Sasa jamaa kwenda kumtia hasara kiboya inaonesha alivyo punguqni ama hamnazo.

Kwahiyo akiskia tena demu wake anachapwa na mtu mwingine ataenda tena kumtia hasara hiyo mwingine, na mwingine na mwingine tena. Huoni ni ujinga huo.

Anaacha kudeal na chanzo yeye anadeal na matokeo.
 
Kwanza nakupongeza kwa maamuzi uliyochukua ya kuharibu shamba lake, Hongera sana! kwa atakaekuona umekosea huyo hajawahi kuonja machungu ya kuchapiwa!
Ngoja nami nitoe ushuhuda wangu baada ya kuthibitisha kuna mtu anatembea na mke Wangu, tena hakua mtu wa mbali na pale nnapokaa! Maamuzi niliyochukua ni kuwahi ktk ushirikina.
1. Mganga wa kwanza alikuwa Rafiki wa Mjomba huyu alinambia tumpige kisomo ili jamaa apagawe! tukapiga kisomo cha masaa matatu huku tukimtaja jina lake na kuchoma vitu flani ktk Moto, huyu anapatikana Dar.
2. Mganga wa pili huyu ni Mmakonde anatokea Msumbiji huyu alinambia jambo la kwanza ni kumfunga mirija yake yote ya shilingi halafu, tunamseti Mwanamke anakuwa Mtulivu ndani ya ndoa hasa kama alikuwa na tabia za kimalaya.
3. Mganga wa Tatu huyu anatokea Maheha ipo Tandahimba huyu alinambia tumpige jini ahangaike na Dunia, tukamseti njiwa wa rangi ya mawingu akarushwa kutoka maheha kuja alipo mtesi wangu nikaambiwa itaxhukua siku 7, njiwa kufika na atamvamia jamaa ktk mazingira ya Ajabu.
4. Mganga wa Nne yeye alinipa option ya kuchagua nataka iweje, nikamwambia tumpe mateso ahangaike na Dunia ikiwezekana aje aniombe RADHI akiwa anatambaa ukasetiwa mzinga mmoja wa hatari, ile dawa niliagizwa nihakikishe mbwa anaila, nilipopata utulivu nikanunua utumbo ule utumbo wa bomba nikaizamisha ile dawa, nikamtafuta mbwa alipo nikaongea na mwenya mbwa nikampoza buku5 nikampa mbwa ule utumbo kazi ikaisha, na dawa zingine nikaxhoma saa saba ya Usiku, matokeo ya dawa ya mbwa muhusika anakuwa na tabia kama ya mbwa ya kutoa ulimi muda wote kama vile afanyavyo Mbwa!
Kufuoisha Story nilitumia waganga tofauti tofauti Sita, na nilipata Uchungu na hasira kwa sababu Mwanamke niliyenae nimezaa nae watoto watatu, na kuna kibarua nimemtafutia! nikaona kuna Ugumu wa kumuacha kwa kuwa wanangu watapata tabu ya kimalezi, pia nikawa na option nyingine ya kuongeza Mke wa pili ambae nahisi anaweza kuwa faraja yamgu maana yule wa kwamza nahisi hana Upendo nami.

Nilisahau kuwajulisha yule jamaa niliyemuendea kwa waganga ili kumroga! hadi sasa jamaa yupo yupo hajielewi anatembea sana kwa miguu akiwa anaongea peke yake barabarani! pia pale alipokuwa anaishi karibu yangu amehama! naendelea kumfuatilia kujua hatma yake ili kama haikkolea nikazimue tena hadi kieleweke ili Moyo wangu ufurahi!
Hizi akili sijui mnazitoaga wapi aisee.

Nawaombea wanao wasirithi wivu wa kipuuzi na kijinga usioelezeka kama huu.
 
Duuh hii jinsia huwa mnanishangaza sana yani mnajisifu kutumia logic lakini mnashindwa kutambua hiyo logic kwenye mambo mepesi kama haya sasa sijui huwa mnaitumia wapi hiyo logic, yani tendo linalohusisha jinsia mbili na ambalo haliwezi kukamilika bila hizo jinsia mbili kushirikiana ila cha ajabu eti baada ya tendo jinsia moja inasifiwa nyingine inatukanwa, sasa kwa mfano hapo inakuwaje mwanamke ndio awe na makosa na mwanaume asiwe nayo yani ilitakiwa mwanamke afanye na nani na mwanaume afanye na nani ili kila mmoja asiwe na makosa kwa upande wake
Mwanamke mpumbavu ndio analiwaga, kipumbavu wakati anajua yuko katiKa himaya ya mume.
 
Na kwanini utongoze mwanamke ambaye huna malengo naye, kutongoza siyo shida shida ni nia ya kutongoza kama ambavyo wewe huwa unatongoza wanawake kwa lengo la kuwachezea, halafu mwisho wa siku wewe unajiona huna makosa
Mwanamke hachezewi ila anagongwa vizuri tu😀
 
Wewe, usijekuta huyo mwanaume hakujua kama ni mkeo, utakuta demu kasema hana mume, makosa kwa asilimia kubwa ni ya wanawake.

Na kila siku Huwa nasema humu, ukichapiwa ujue humpelekei moto vizuri, ukimpelekea kisawasawa, hata hamu ya kusex nje anakuwa hana, maana unakuwa umemmaliza hamu zote.
Bila hisia kali juu yako hata ukeshe unamchokonoa mkeo usiku kucha hatakaa aridhike. Ipo siku tu atafuatwa na mtu ambaye hata akimuona tu chupi inalowana chap chap. Na hapo hatakuwa na ujanja lazma atapigwa pumbu tu.
 
.......uko sahihi kabisa mkuu, na hii ina maana mwenye jukumu la kulinda mahusiano au ndoa ni wewe mwenyewe mwenye ndoa, so huyu Jamaa yetu ilipaswa amlinde mkewe na kama alishindwa ilibidi akomae na mkewe kwa kufanya usaliti huo na sio kuleta tabu kwa wengine........
Kisasi cha usaliti wa mapenzi ni kama bomu tu. Linapolipuka huwa haijalishi walio jirani wana husika au hawausiki. Hivyo ni sawa tu iwe uligonga kwa kujua au kutojua unaweza dhurika maana mwenye mke ana dhamana nae kisheria.
 
Mimi nilishawahi kuleta kisa humu. Nilimfungulia biashara mwanamke ili asikae doro, nikitoka mihangaiko tunakusanya na alichouza ili tupunguze makali ya maisha.

Aisee kumbe ndio nilikua nimewasogezea nyama wauza bucha aisee. Pisi ikawa inakutana na majibaba yenye pesa anapoenda kufatilia mizigo ya dukani kwenye maduka ya jumla. Wakamrubuni tukaishia kutemana. Biashara nikamuachia nikaendelea na mishe zangu! Kaishia kuifilisi na sasa hivi anajuta.

Ila nimepata funzo ina a very hard way!!!
Huo ndio uanaume. Mke sio kitu cha kuki expose ndio maana waarabu wanafungia wake zao ndani na kuwapiga mimba kila wakati.
 
Kwanza nakupongeza kwa maamuzi uliyochukua ya kuharibu shamba lake, Hongera sana! kwa atakaekuona umekosea huyo hajawahi kuonja machungu ya kuchapiwa!
Ngoja nami nitoe ushuhuda wangu baada ya kuthibitisha kuna mtu anatembea na mke Wangu, tena hakua mtu wa mbali na pale nnapokaa! Maamuzi niliyochukua ni kuwahi ktk ushirikina.
1. Mganga wa kwanza alikuwa Rafiki wa Mjomba huyu alinambia tumpige kisomo ili jamaa apagawe! tukapiga kisomo cha masaa matatu huku tukimtaja jina lake na kuchoma vitu flani ktk Moto, huyu anapatikana Dar.
2. Mganga wa pili huyu ni Mmakonde anatokea Msumbiji huyu alinambia jambo la kwanza ni kumfunga mirija yake yote ya shilingi halafu, tunamseti Mwanamke anakuwa Mtulivu ndani ya ndoa hasa kama alikuwa na tabia za kimalaya.
3. Mganga wa Tatu huyu anatokea Maheha ipo Tandahimba huyu alinambia tumpige jini ahangaike na Dunia, tukamseti njiwa wa rangi ya mawingu akarushwa kutoka maheha kuja alipo mtesi wangu nikaambiwa itaxhukua siku 7, njiwa kufika na atamvamia jamaa ktk mazingira ya Ajabu.
4. Mganga wa Nne yeye alinipa option ya kuchagua nataka iweje, nikamwambia tumpe mateso ahangaike na Dunia ikiwezekana aje aniombe RADHI akiwa anatambaa ukasetiwa mzinga mmoja wa hatari, ile dawa niliagizwa nihakikishe mbwa anaila, nilipopata utulivu nikanunua utumbo ule utumbo wa bomba nikaizamisha ile dawa, nikamtafuta mbwa alipo nikaongea na mwenya mbwa nikampoza buku5 nikampa mbwa ule utumbo kazi ikaisha, na dawa zingine nikaxhoma saa saba ya Usiku, matokeo ya dawa ya mbwa muhusika anakuwa na tabia kama ya mbwa ya kutoa ulimi muda wote kama vile afanyavyo Mbwa!
Kufuoisha Story nilitumia waganga tofauti tofauti Sita, na nilipata Uchungu na hasira kwa sababu Mwanamke niliyenae nimezaa nae watoto watatu, na kuna kibarua nimemtafutia! nikaona kuna Ugumu wa kumuacha kwa kuwa wanangu watapata tabu ya kimalezi, pia nikawa na option nyingine ya kuongeza Mke wa pili ambae nahisi anaweza kuwa faraja yamgu maana yule wa kwamza nahisi hana Upendo nami.

Nilisahau kuwajulisha yule jamaa niliyemuendea kwa waganga ili kumroga! hadi sasa jamaa yupo yupo hajielewi anatembea sana kwa miguu akiwa anaongea peke yake barabarani! pia pale alipokuwa anaishi karibu yangu amehama! naendelea kumfuatilia kujua hatma yake ili kama haikkolea nikazimue tena hadi kieleweke ili Moyo wangu ufurahi!
We jamaa ni mafia sana. Hii kiboko ya uchafu.
 
Hizi akili sijui mnazitoaga wapi aisee.

Nawaombea wanao wasirithi wivu wa kipuuzi na kijinga usioelezeka kama huu.
Nikimkosa ktk mbinu hii ya shirki namkodia vijana wamf*******e na ntahakikisha anachukuliwa na video au Picha! hili ntafanikiwa maana namba yake ya simu bado nnayo!
 
Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.

Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.

Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa, nilichofanya sasa?

Usiku wa manane nikiwa na makamanda wangu tuling'oa na kufyeka shamba la yule mkora, hatuuacha hata mche mmoja, ilikuwa kilo na kusaga meno
Ni bora ungeenda kuvuna nyanya kuliko kufyeka

Umaskini hautakuacha kamwe Maana hujui malipizi
 
Back
Top Bottom