Umenikumbusha Jkt mafunzo sita taja tulivamia shamba la ...............Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho,mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000,
Jamaa nyanya ilimps jeuri,nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa,nilichofsnya sasa?
Usiku wa manane nikiwa na makamanda wangu tuling'oa na kufyeka shamba la yule mkora ,hatuuacha hata mche mmoja,ilikuwa kilo na kusaga meno
.......ujinga ni pale ambapo tunaoa malaya then tunawaingiza hasara wanaume wenzetu.......
Duuh hii jinsia huwa mnanishangaza sana yani mnajisifu kutumia logic lakini mnashindwa kutambua hiyo logic kwenye mambo mepesi kama haya sasa sijui huwa mnaitumia wapi hiyo logic, yani tendo linalohusisha jinsia mbili na ambalo haliwezi kukamilika bila hizo jinsia mbili kushirikiana ila cha ajabu eti baada ya tendo jinsia moja inasifiwa nyingine inatukanwa, sasa kwa mfano hapo inakuwaje mwanamke ndio awe na makosa na mwanaume asiwe nayo yani ilitakiwa mwanamke afanye na nani na mwanaume afanye na nani ili kila mmoja asiwe na makosa kwa upande wakeWanaume mabwege ndio wewe
Mwanamke akijucheat yeye ndiye mwenye makosa sio mwanamume aliyetoka naye
Mwanamke akikucheat ni jambo la kushukuru Mungu amekuonyesha kywa hakukupenda wala kukuheshimu
Huwa tunawapiga chini wanawake wasaliti mazima
Mwanamke kutokukuambia ukwel hakukukingi na kupasuliwa speakerWanaume mabwege ndio wewe
Mwanamke akikucheat yeye ndiye mwenye makosa sio mwanamume aliyetoka naye maana anajua yuko committed na mtu wake anakubalije kumvulia chupi mwanamume mwingine?
Mwanamke akikucheat ni jambo la kushukuru Mungu amekuonyesha kuwa hakukupenda wala kukuheshimu
Huwa tunawapiga chini wanawake wasaliti mazima. Wajinga hudeal na mwanamume aliyemtomba
Duuh hii jinsia huwa mnanishangaza sana yani mnajisifu kutumia logic lakini mnashindwa kutambua hiyo logic kwenye mambo mepesi kama haya sasa sijui huwa mnaitumia wapi hiyo logic, yani tendo linalohusisha jinsia mbili na ambalo haliwezi kukamilika bila hizo jinsia mbili kushirikiana ila cha ajabu eti baada ya tendo jinsia moja inasifiwa nyingine inatukanwa, sasa kwa mfano hapo inakuwaje mwanamke ndio awe na makosa na mwanaume asiwe nayo yani ilitakiwa mwanamke afanye na nani na mwanaume afanye na nani ili kila mmoja asiwe na makosa kwa upande wake
Miaka kadhaa nyuma nikiwa mkoani iringa kuna mwamba mmoja alikuwa akinichapia shemeji yenu.
Jamaa hakuwa na shughuli nyingine zaidi ya kilimo,
Alilima nyanya na pilipili hoho, mwaka huo 2019 tenga la nyanya kwa DSM lolifika 90,000.
Jamaa nyanya ilimpa jeuri, nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa, nilichofanya sasa?
Usiku wa manane nikiwa na makamanda wangu tuling'oa na kufyeka shamba la yule mkora, hatuuacha hata mche mmoja, ilikuwa kilo na kusaga meno
kwa hapa inakua ngumu kwasababu labda mwanamke ndo amemtongoza aliye cheat naeDuuh hii jinsia huwa mnanishangaza sana yani mnajisifu kutumia logic lakini mnashindwa kutambua hiyo logic kwenye mambo mepesi kama haya sasa sijui huwa mnaitumia wapi hiyo logic, yani tendo linalohusisha jinsia mbili na ambalo haliwezi kukamilika bila hizo jinsia mbili kushirikiana ila cha ajabu eti baada ya tendo jinsia moja inasifiwa nyingine inatukanwa, sasa kwa mfano hapo inakuwaje mwanamke ndio awe na makosa na mwanaume asiwe nayo yani ilitakiwa mwanamke afanye na nani na mwanaume afanye na nani ili kila mmoja asiwe na makosa kwa upande wake
Mwanamke kutokukuambia ukwel hakukukingi na kupasuliwa speaker