Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Kuna wanaume aina mbili watembea na wake za watu.
1. Wale ambao hujisikia ni wanaume zaidi pale wanapotembea na mke wa mtu. (Wengi yanaowakuta ni wa iana hii, na huwa ni wajinga wajinga sana)
2. Wale ambao hata hawana habari kuwa kaolewa, wao wanachotaka ni ngono. (Hawa ni mara chache kupatwa na mabaya maana huwa wanakula wanajifuta, hawana muda na mapenzi)
Wote wanamakosa ila makosa makubwa yapo kwa Mwanaume,dunia nzima inatambua wanawake ni weak,sasa kama Mwanamke unajua fika ni mke wa MTU kwa nini uendelee kumtongoza??
Upo sahihi kbsa ..mwanamke akikucheat muache haraka sana kwa afya ya moyo wakoWanaume mabwege ndio wewe
Mwanamke akikucheat yeye ndiye mwenye makosa sio mwanamume aliyetoka naye maana anajua yuko committed na mtu wake anakubalije kumvulia chupi mwanamume mwingine?
Mwanamke akikucheat ni jambo la kushukuru Mungu amekuonyesha kuwa hakukupenda wala kukuheshimu
Huwa tunawapiga chini wanawake wasaliti mazima. Wajinga hudeal na mwanamume aliyemtomba
Mwanamke hakwepi lawama. Ila huyu aina ya kwanza huwa ni mwaribifu wa kutumia udhaifu anauona kwenye ndoa za watu ndo maana mabaya humkuta always.Yeyote kati ya hao lazima amtongoze kabla hajasuuza rungu.
Kwa hiyo mwisho wa siku mwanamke mwenyewe msimamo wake ndio utafanya kazi iwe rahisi au ngumu kwa mtongozaji.
Ndio maana katika kisa hiki lazima lawama ziende kwa mwanamke hana msimamo
Upo sahihi, yes na vice versa inapaswa lawama iwe kwa mwanaume kama aliyefumania ni mwanamke. Ni vile sisi watu weusi ni viumbe wa ajabu sana.Sawa mkuu nakubaliana na wewe, lakini mbona mambo huwa tofauti pale ambapo mwanaume anamdanganya mwanamke kuwa yuko single kumbe ni mume wa mtu, baadaye anatukanwa mwanamke kuwa kaiba mume wa mtu badala ya kutukanwa huyo mwanaume kwa kumdanganya mwanamke kuwa yuko single
Na kwanini utongoze mwanamke ambaye huna malengo naye, kutongoza siyo shida shida ni nia ya kutongoza kama ambavyo wewe huwa unatongoza wanawake kwa lengo la kuwachezea, halafu mwisho wa siku wewe unajiona huna makosaMwanamke lazima atongozwe ni yeye sasa juu yake akubali au akatae
Kasema shemeji yenu!!Shemeji yako? Una tatizo la utulivu au unamaanisha shemeji yako kweli?
Na kwanini utongoze mwanamke ambaye huna malengo naye, kutongoza siyo shida shida ni nia ya kutongoza kama ambavyo wewe huwa unatongoza wanawake kwa lengo la kuwachezea, halafu mwisho wa siku wewe unajiona huna makosa
Wewe, usijekuta huyo mwanaume hakujua kama ni mkeo, utakuta demu kasema hana mume, makosa kwa asilimia kubwa ni ya wanawake.Okay kwahiyo mwanaume kupiga sound hana makosa ila mwanamke kuvua nguo ndio ana makosa, naamini mwanaume asingemtongoza huyo mwanamke basi mwanamke asingemfuata kumlazimisha, hizi kauli zenu za kipuuzi ndio zinafanya wanaume muache kuwajibika kwa makosa yenu na badala yake kila kitu mnawabebesha mizigo wanawake
Mwanamke kuwa au kutokuwa na kosa inategemea na jinsi utakavyotafsiri, ninachopinga mimi ni ile wanaume kujiona mko innocent na kila kitu kumbebesha lawama mwanamke, maana hapo najua mnachomaanisha ni kwamba mwanaume akicheat mwenye makosa ni mwanamke tu na ndipo mnaposhindwa kureasonLabda nikuulize kitu wewe unaona alichofanya huyo mwanamke ni sawa kutongozwa na kukubali kuliwa?
Mwanamke kuwa au kutokuwa na kosa inategemea na jinsi utakavyotafsiri, ninachopinga mimi ni ile wanaume kujiona mko innocent na kila kitu kumbebesha lawama mwanamke, maana hapo najua mnachomaanisha ni kwamba mwanaume akicheat mwenye makosa ni mwanamke tu na ndipo mnaposhindwa kureason
Naomba uzoefu wako kwenye mbinu ulizotumia mpaka ukajiridhisha bila shaka yoyote kuwa njemba ilikuwa inakula mzigo.nilijiridhisha bila shaka kuwa nachapiwa