Nilivyogundua tu Mwanamke ana gari, nikaona huyu siyo Level zangu

Yule dada jinsi alivyonyanyuka nanilivyoona ulemkia wake na ile rangi yake nyeupe!! Nikasema hii ndo level yangu sasa 😋
 
G
Mh! ngumu kumeza
 
Ila basi tu mbona Mimi nimepiga Sana hao wenye magari kipindi hicho hata sijaoa na sikuwa hata na Mia mbovu.

Nakumbuka siku moja ni miaka mingi imepita hata kuoa ilikuwa bado,ilikuwa ni maeneo ya buguruni malapa ,nilimuona dada mmoja ni mzuri kiukweli akiwa anatembea Kwa miguu tu,nikamtokea nikafunguka ya moyoni , akawa ananiangalia huku akitabasamu.

Lile tabasamu la dharau,lakini nilijikaza huku nikiwa serious,akaniambia tuliposimama kuna jua tukaongelee kwenye gari lake,aloooooh jasho likaanza kunitoka Demu alikuwa wakishua ana ndinga Kali hata boss wangu wa kiarabu hakuwa na gari Kali kama lile Kwa kipindi hicho.

Demu aligundua kama nimestuck , akaniambia nirelax,angalau nikaanza kujiamini ,

Akaniuliza kama Nina simu nikawa sina,ilikuwa aibu akauliza tutawasiliana vipi ? Nikawa najichekesha tu, akanielekeza kwenye duka lake mitaa ya fulani Kariakoo niende ikiwa Nina shida naye.

Kwa siku hiyo moyo ulikataa nikasema simuwezi,ila baada ya miezi miwili nikaenda kwenye lile duka sikumkuta,niliwakuta vijana wakiume wawili wanaonekana maisha Safi.

Nikawauliza kama namtaka dada fulani huku nikiwa makini,wakasema kasafiri kaenda ughaibuni ila atarudi wiki mbili zijazo.

Kidume nilishtuka,moyo ulianza kukata tamaa lakini sikuruhusu hicho kitu,wiki tatu mbele nilirudi nikamkuta amependeza kuliko siku ya Kwanza ,aliponiona alifurahi sana,tukaanzisha mahusiano,na nikaichapa Sana tu,japo nahisi nilihurumiwa haikuwa hadhi yangu kwakweli ,miaka sita baadaye akaajiriwa kwenye moja ya taasisi alizoanzisha Rais Mkapa ,yaani mwaka wa Kwanza Ile inaanzishwa na kuwa mamlaka rasmi Demu alikula shavu,
Pesa humfuata mwenye hela.

Mahusiano yakafia pale,vibopa wakanipora
 
Wewe hufai kuwa mwanaume kama unaogopa wanawake eti kwasababu wanaonekana wamekuzidi kitu.
Vijana niwaambie siri, hakuna wanawake rahisi kuwatroomba kama wanawake ambao wamekuzidi kimaisha, hawa wanawake wa hivi 99% wako desperate, wapo very weak, hawajiamini na hawana furaha. Ukijiamini kidogo tu siku 2 nyingi unamkojoza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…