Black Pundit
Member
- Dec 24, 2022
- 62
- 197
Bado una safari bdefu Sana kwa mtazamo huo ......Leo bana nikiwa katika harakati zangu za siku, kulikua Kuna sehemu nimetulia
Ghafla nikaona mwanamke Mzuri na yeye pia alikua ametulia Kwa mazingira yake kumfata ilikua noma
Nikaona hapa akiinuka tu namfata nichukue namba
Akainuka nikamfata nashangaa akaenda kwenye gari raver 4 .
Nikazuga kama naenda mbele
Kimoyomoyo Niko
Huyu siyo level zangu nika achana naye.
Wenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
๐๐๐,na hakuna mwenye KAZI ya mshahara laki tano.Pia wanaume wote wa JF tuna elimu si chini ya degree na tunafanya kazi nzuri, hatuna njaa.
๐๐๐๐Kijana aache uoga. Hivyo tuu anaogopa. Akiambiwa aandamane ataweza kweli?
๐๐๐๐
Wote tunapokea kuanzia milioni mbili na kuendelea. ila wanaume wa Tz sijui lini tutaacha maisha ya kuigiza ya kujifanya tuna hela, sijui inatusaidia nini. Mtu anatamani akupe dili la laki mbili, ila kwakuwa umejipandisha kuwa ni wa juu, anaona hilo dili ni dogo kwa level yako, anampa mtu mwingine. Kumbe maskini ya Mungu huna haya hela ya kula kesho na kodi huna.๐๐๐,na hakuna mwenye KAZI ya mshahara laki tano.
Wanapenda kuigiza,kujitutumua na pesa hawana.Wote tunapokea kuanzia milioni mbili na kuendelea. ila wanaume wa Tz sijui lini tutaacha maisha ya kuigiza ya kujifanya tuna hela, sijui inatusaidia nini. Mtu anatamani akupe dili la laki mbili, ila kwakuwa umejipandisha kuwa ni wa juu, anaona hilo dili ni dogo kwa level yako, anampa mtu mwingine. Kumbe maskini ya Mungu huna haya hela ya kula kesho na kodi huna.
Uoga wako tu mwanetu sisi hua hatuchagui kwa kupiga tunapiga popote iwe kichangani, kitopeni, mpaka kwenye nyasi nyingi, kote tunachakata babako nipe shikamoo nyingiWenzangu vipi ?
uwa mnaweza kuwatokea mademu ambao wamewazidi level za kimaisha
HahahahhahahaMimi nilimsemesha mama mmoja akaniambia twende tukaongelee kwenye gari Yako.Ilibidi nikachekee choooni.
Woga wake ndo umaskini wake angetest zali
Ukose gari mtoto wa mjini wewe? Dunia yote itasimamaSina gari ๐ฅ
๐น๐น๐น Nasubiri uninunulie GUkose gari mtoto wa mjini wewe? Dunia yote itasimama
Mwenzako hata sijawahi kumiliki hata baiskeli๐น๐น๐น Nasubiri uninunulie G
Hakika...Woga wake ndo umaskini wake angetest zali