Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoma ni draw mpaka pale mtakapo kuwa mumeambukizwa ndio utaona tofauti ya msoto kati ya yule aliyachanjwa na wewe ambaye hujachanjwa.Hongera! Lakini usisahau kuvaa barakoa,kunawa mikono kwa maji tiririka,kutumia Sanitizer vinginevyo hujaipona Covid-19!
Kwa wale ambao hatujachanja na wale mliochanjwa ngoma ni draw.
Hata mimi sishangai sana kuona watu wanakataa chanjo, maana kuna watu wanakataa kujenga na kutumia vyoo, hadi Leo mpaka washikwe faini za kutokuwa na choo. Twende nao pole pole watu wetu.Majibu yenu ya kubeza haya maswali ya wengine ndio yanazidisha wasiwasi.
Huwezi kuishi kwa kupiga ramli kama hivyo. Madhara ya muda mrefu yapo hata kwenye vyakula vinavyolimwa kwa mbolea, kupulizia dawa za wadudu na kuhifadhia nafaka. Madhara yako kwenye soda, juices na madawa tunayotumia tukiumwa.Mhe; tatizo unaweza usilipate wewe akaja kupata mtoto wako inscase Bado kama unazaa au unazalisha tena may be baada ya miaka hata 10+ hukoo, au hata wewe baada ya miaka kadhaa l, so usitoe conclusion Kwa Muda wa hata miezi 6 haujafika unasema upo okay!, Itafika Muda watu tutakuwa tunaumwa lakini hatujui shida Nini? Lakini huwez jua pengine ni kitu ambacho tunakitengeneza saizi.
So be extra Carefully
Kwani wasipochanjwa ninapata hasara gani? Mtu anakataa kuchimba choo sembuse chanjo hii. Mtu anakataa kutumia condom sembuse chanjo ya covid-19? Sina sababu ya kumshawishi mtu achanje.😆😆Umekazana sana na eneo hilo,ukijua utapata vijana wengi... hongera
Mimi ni miongoni watu waliochanjwa chanjo ya covid-19 Jonson Johnson siku ya pili tu baada ya zoezi la kuchanja kuzinduliwa na Rais
Nilijisikia yafuatayo:
1. Nilichanjwa kwenye bega la Lushoto, sehemu niliyochanjwa nijisikia maumivu ya sindano kwa siku kama 3 hivi
2. Baada ya kuchanjwa nilijisikia kama kichwa kizito kidogo kwa siku kama 3 hivi
3. Nilijisikia kutaka kupunzika nyumbani nisifanye kazi kwa siku kama tatu hivi
4. Sikutamani kufanya tendo la ndoa kwa siku kama 5 hivi
5. Baada ya wiki moja kupita nikarudi kwenye hali yangu ya kawaida na zaidi
6. Nilijisikia hamu zaidi ya kutaka kujamiana
7. Nguvu za kiume ziliongezeka mara tatu zaidi
8. Nilitoa megu nyingi kuliko kawaida wakati wa kujamiana
9. Nikajisikia mtu mwenye nguvu kuliko kabla ya chanjo.
10. Tangu nichanjwe sijawahi kupata kikohozi, mafua
11. Kama Koo likinikereketa ilikuwa lazima nimung'unye lozenges au nimeze antibiotics ili nipone lakini juzi koo linikereketa likatulia lenyewe bila kutumia dawa yoyote.
12. Umakini (concentration yangu na busara zangu nahisi kama vimeongezeka kuliko awali.
Nadhani chanjo Iko pia, unaweza kuja kujutia kama chanjo zitaisha bila wewe kuchanjwa. Maana mwenye foleni tulikuwa na WAtu raia wa Ulaya na Asia wanahitaji kuchanjwa.
Onnba Mungu ndugu zako vijijini wasipate covid-19, maana hakuna hospital, oxygen Wala usafiri.Ngoma ni draw mpaka pale mtakapo kuwa mumeambukizwa ndio utaona tofauti ya msoto kati ya yule aliyachanjwa na wewe ambaye hujachanjwa.
Ha ha ha !Tumeshasema, hatuko tayari kufanyiwa majaribio, hizi mbini uchwara hazitasaidia, ifike mahala mtuelewe jamani
Nakubaliana na wewe, ndio maana inatubidi tupate chanjo ili kuepuka severe infection. Labda hukuelewa comment yangu ya awali.Onnba Mungu ndugu zako vijijini wasipate covid-19, maana hakuna hospital, oxygen Wala usafiri.
Kama Uzi haukuhusu kaa kimya usichangie, Uzi unawalenga zaidi wale tuliochanja tutoe ushuhuda na maudhi tuliyokutana nayo baada ya kuchanjwa chanjo ya Johnson's. Huwezi kuchangia hapa kwakuwa huna Cha kuchangiaMbona mnatumia nguvu Kubwa Sana kuchanja n hiari Kama wew umechanja kaa kimya
Ni hivi mkae mkijua kuwa pia ni biashara hii ya covid imekuja haraka kwa sababu hili janga limewagusa wao moja kwa moja.Malaria hawahangaiki nayo kwasababu ugonjwa huu uko zaidi nchi za kimasikini ebola,kipindupindu na Ebola vikiwepo.Mlinganisho huo na wa polio surua haviendani mkuu sababu ilichukua muda mrefu kupatikana chanjo yake ila hii imekuja very soon yaani testing yake inafanyika directly ndio maana hata uchanjwe bado uko hatarini na zinapingwa kwa sehemu kubwa sana
Hapana sasa ni ruksa kwa kila anaetaka kuchanja ili mradi uwe na miaka 18+HV jmn c wamesema kipaumbele Ni wazee kuanzi 50 alfu cc walio below utatolewaa utaratibu wa kupewa chanjo
Ni hivi mkae mkijua kuwa pia ni biashara hii ya covid imekuja haraka kwa sababu hili janga limewagusa wao moja kwa moja.Malaria hawahangaiki nayo kwasababu ugonjwa huu uko zaidi nchi za kimasikini ebola,kipindupindu na Ebola vikiwepo.
Acha upotoshaji
Tuwaelewe [emoji3][emoji3] wewe na nani?Tumeshasema, hatuko tayari kufanyiwa majaribio, hizi mbini uchwara hazitasaidia, ifike mahala mtuelewe jamani