Ila hatuna uhakika kama ni yeye [emoji41]Huyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOKView attachment 1758662
Huyu ndie muimba kwayaIla hatuna uhakika kama ni yeye [emoji41]View attachment 1758747
[emoji23][emoji23]Huyu ndie muimba kwaya
Nyie mnachekeshaa asiende hata toilet jamani??mkuu leta story iwe ndefu ndefu..basi.. sio kama series za kuhindi tifike episode ya 600
Kanya Kanya kweliHuyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOKView attachment 1758662
Haina hata rahaSijawahi kutafuna bikra
Why?Haina hata raha
Hahahaha acha tu kuna utalii mwingine raha sana. Haswa kama ni mtu mpenda magari
Wiki kadhaa zilizopita mdogo wangu kafanya utalii wa kuzunguka mikoa 22 ndani ya siku 13 kwa gari na mie nataka nimlipe
Kaanzia Mbeya-Tdm-Swanga-Mpanda-Kigoma-Bukoba-Chato-Geita-Mwanza-Shy-Nzega-Tabora..Then Tabora-Sgd-Babati-Arusha-Moshi-Tanga-Bagamoyo-Dar-Lindi-Mtr-Songea-Njombe-Makambako-Mbeya.
Mwisho wake mwaka huu nataka nilipe nipige mikoa yote ya bara na Mbuga zote za Tanzania kwa mwezi mmoja
Hahahah karibu
*T & C applies[emoji23]
[emoji932][emoji932]Nakuja dk sifuri hold on mrembo wangu.Njoo tulale d
Usicheke anza jitihada tukadirie intavyuu PM[emoji23][emoji23][emoji23]
Usicheke anza jitihada tukadirie intavyuu PM
*Nafasi ni chache[emoji23]
Kanya kashapigwa miti..hakuna cha ulokole,uwimbaji kwaya wala nini..
Daah,aliye Juu atuhurumie sana.