Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Huyu pia anaitwa KANYA na yupo south Africa kwa mujibu wa FACEBOOKView attachment 1758662
Ila hatuna uhakika kama ni yeye [emoji41]
FB_IMG_16189529501124127.jpg
 
Hahahaha acha tu kuna utalii mwingine raha sana. Haswa kama ni mtu mpenda magari

Wiki kadhaa zilizopita mdogo wangu kafanya utalii wa kuzunguka mikoa 22 ndani ya siku 13 kwa gari na mie nataka nimlipe

Kaanzia Mbeya-Tdm-Swanga-Mpanda-Kigoma-Bukoba-Chato-Geita-Mwanza-Shy-Nzega-Tabora..Then Tabora-Sgd-Babati-Arusha-Moshi-Tanga-Bagamoyo-Dar-Lindi-Mtr-Songea-Njombe-Makambako-Mbeya.

Mwisho wake mwaka huu nataka nilipe nipige mikoa yote ya bara na Mbuga zote za Tanzania kwa mwezi mmoja

Utanipa lift mkuu
 
RIP George Floyd. Mnubi alikua anapambana maisha yaende
 
Back
Top Bottom