Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Tabia hii mbona inasitajabisha sana, umeongea vyema pia tungane kukemeaa mambo haya binafs yanakera sana
 
konda msafi katika pitapita zangu humu JF, nimegundua kuwa wewe ni miongoni mwa watu wenye utulivu, busara na huwa haupanic wala kujibu kwa lugha ya matusi regardless how many times watu wana kuharrass hasa kipindi kile cha story yako ya kumbu.
Bwana konda, binafsi naamini wewe upo sahihi kwa mtazamo wako na pia bwana keagan yupo sahihi kwa story yake....unapoanza kuweka question mark katika kila stage ya story ya jamaa unakuwa unakosea kwa namna moja ama nyingine..sio lazima aelezee kila kitu utakuta story inajaa..pengine huko kote alikopita na kwenye vizuizi alikutana na hawa askari na akawapa chochote kitu..

sasa akianza kuweka kila tukio itakuwa ni useless..story itajaa marudio yasiyo ya msingi..Basi kama ni hivyo, atuelezee pia aliwezaje kupewa sehemu ya kuishi na kupewa access ya vyombo vya kanisa kabla hawajajiridhisha na uraia wake wa halali...

kuna muda inabidi tufunike kombe mwanaharamu apite au tujiongeze tu..Ni kama vile unaoneshwa movie halafu staring anaumwa sana sana..badae part two unakuta ni mzima ameendelea na mishe zake..utasema amekufa na kufufuka? Hapana, jibu ni kuwa inabidi ujiongeze kuwa alipona, mambo ya kujua aliponaje huenda hayapo kwenye script ya director ili kuepusha kuirefusha movie unnecessarily..

Vivyo hivyo kwa Bwana keagan,,amesema amefika lesotho salama basi tuna assume kuwa kuna vikwazo alikutana navyo akavivuka...

mkuu..hebu kuwa mpole tusubilie story.​
 
Ww ni mmoja ya watu mlioharb huu Uzi na Dada zako hao baada ya kuanza kuwasifia ujinga kwahy mnataka muharb Uzi tuwachekee kwa kuwaogopa au ukiweka mguu tunaweka shoka
 
Mkubwa fanya tuendelee tujue mlivyo rudi vipi ukaribu na huyo demu uliaffect mahusiano na KANYA?
 
Hizo permit za ukimbizi mbona mara kibao tu wazee wanazichana. Mfanye tukio halafu wawakute na hizo karatasi, mbona zitachanwa na kusindikizwa kwa buti la matakoni kuingia kwenye pira.


Permit ikiwa siyo fake (mpango kanjanja) police hawachani mkuu,ndio maana nimekwambia inakutoa mahakamani.

Mfano umefanya kosa la kawaida ambalo lina dhamana mahakamani,moja ya masharti ya dhamana kwa foreigners ni lazima uwe na asylum permit au passport bila hivyo unaweza usitoke kwa dhamana hata kama umetimiza masharti mengine,umenisoma mkuu?
 
Naomba Link ya story ya kumbu
 
Sawa mkuu haina shida. Acha tupate utamu wa stori, kweli hayo mengine tukitaka kuyadadisi sana yanaweza kumtoa kwenye reli bwana Keagan. Ila kama itampendeza binafsi ningemuomba aelezee aliwezaje kutoka SA na kurudi tena wakati visa imeisha. Mzee Fohadi hiki ni kipengele muhimu sana. Kuwa na expired visa mbele ya immigration officer ni sawa na kulala chumba kimoja na chatu kama alivyosema mdau mmoja hapo juu.
 
Naomba Link ya story ya kumbu
Link sijui kuweka ila fungua hili jina konda msafi then click upande wa msg utaona posts zake kibao..tafuta post yenye komenti ya 'jinsi penzi la mtoto wa kizulu durban lilivyotaka kunitoa roho' (sina uhakika kama hiyo tittle nimeiandika vizuri ila inafanana na hiyo)..Ni bonge moja la story.
 
Sawa mkuu, wala tusibishane sana. Acha tuenjoy stori ya Keagan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanazingua sana
 
Ntu nne alaf dereva nani?
 
Kumbe jnadharau wanawake??
No,kuna wadada humu wanajielewa na wanaheshimu. na kama kutaniana inakuwa kidogo kila mtu anaendelea na ishu zake.

Kuna mmoja ni mjuaji sana kila thread yenye traffick kubwa yupo na anastori nyingi ambazo ukizisoma ni za kuunga tu ile awe relevant na kila uzi humu jf..Personally nimemgu-ignore/block.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ