konda msafi katika pitapita zangu humu JF, nimegundua kuwa wewe ni miongoni mwa watu wenye utulivu, busara na huwa haupanic wala kujibu kwa lugha ya matusi regardless how many times watu wana kuharrass hasa kipindi kile cha story yako ya kumbu.
Bwana konda, binafsi naamini wewe upo sahihi kwa mtazamo wako na pia bwana keagan yupo sahihi kwa story yake....unapoanza kuweka question mark katika kila stage ya story ya jamaa unakuwa unakosea kwa namna moja ama nyingine..sio lazima aelezee kila kitu utakuta story inajaa..pengine huko kote alikopita na kwenye vizuizi alikutana na hawa askari na akawapa chochote kitu..
sasa akianza kuweka kila tukio itakuwa ni useless..story itajaa marudio yasiyo ya msingi..Basi kama ni hivyo, atuelezee pia aliwezaje kupewa sehemu ya kuishi na kupewa access ya vyombo vya kanisa kabla hawajajiridhisha na uraia wake wa halali...
kuna muda inabidi tufunike kombe mwanaharamu apite au tujiongeze tu..Ni kama vile unaoneshwa movie halafu staring anaumwa sana sana..badae part two unakuta ni mzima ameendelea na mishe zake..utasema amekufa na kufufuka? Hapana, jibu ni kuwa inabidi ujiongeze kuwa alipona, mambo ya kujua aliponaje huenda hayapo kwenye script ya director ili kuepusha kuirefusha movie unnecessarily..
Vivyo hivyo kwa Bwana keagan,,amesema amefika lesotho salama basi tuna assume kuwa kuna vikwazo alikutana navyo akavivuka...
mkuu..hebu kuwa mpole tusubilie story.