Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Mauaji hayo mie hPana mie najifutika huko Dubai....

Umenikumbusha jinsi wazanzibar walivopiga pesa dubai, ilikua inaenda kununuliwa gari used dubai, mule ndani siti zinatolewa zote kama ni corola inajazwa mzigo unapangwa vizuri laptops, tv flat screen, na makorokoromengine vioo vinapigwa tinted milango inakua locked kabisa, ngoma ikifika bandarini kinacholipiwa ushuru ni ile gari bidhaa nyingine zote zile zinapita free soko la unguja likawa na vitu vya electronic kibao wapemba wakakuza mitaji then wakaona wahamie kariakoo jamaa walipiga bingo enzi zile basi tu,
 
Ndo maana wanadai electronics ziko zenji had tv naskia cheap..dah...
 
Bora walau uzaliwe ikwiriri ukafie huko kigoma...atleast hata maiti ipate kutembea umbali mrefu...ati umezaliwa ifakara unaenda fia mikumi[emoji1784][emoji1784][emoji1784]..unazaliwa Iringa unafia mbalali[emoji38][emoji38][emoji38]! Nyooo

Unakuta mtu anawaza minada ya chita, Lupilo, mgeta, itete, idete, kikurukutu, mavimba, na namawala anarudi mjini ifakara akishaingia kampala akila nyama choma na bia maisha kwisha maisha haya balaa sana
 
Hahahhahahahaa nimecheka hadi kupaliwa jamani🤣🤣🤣🤣🤣🤣! Walau ka historia ya marehemu iwe ndefu...mwaka 2021 marehemu wangari alienda Ujerumani kibiashara had mauti yalipomkuta😊😊! Walau basi ionekane ulipambana🤧
 
Back
Top Bottom