Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nataka nipeleke Bangi ya Arusha mpaka S. Africa.
Mliofika mnaweza kunipa details

Kanunue zile viatu mnaita raba mtoni utafute nzuri namba iwe kuanzia namba saba au nane utafute zile raba kali osha vizuri uhakikishe kiatu kinang’aa halafu hakina damage za kijinga kwa ufupi kisichanike sehemu halafu wewe safiri nazo hadi boda ya south utauza sana na faida utapata kupita kawaida, kuliko kuuza bange ni mbaya hiyo
 
Had ukakamate gamba lako.umesulubika sana
Wajinga Sana, vi much know Sana maringo mengi,malaya malaya,vitisho Sasa🙄 sie wa mipakani wanatuonea Sana na pua zetu ndefu mi kunipa gamba ilibidi kwenda kuwaonyesha kaburi la babu mzaa babu upande wa baba, ovyo kabisa Yani wanakwamisha watu wengi mno kuvuka mipaka kwenda nje kusaka maisha, wanataka tubanane humu tunuke kana kunguni😏😏 kuwakomoa niliondoka na wawili walifutwa kazi.
 
🙌🙌🙌🙌🙌
 
Walitakiwa wawahimize Vijana wote wawe na Passport ili fursa na michongo ikitokea waweze kuchangamkia

Kuna Nchi za wenzetu zinawatafutia Vijana wake hadi kazi Nje ya Nchi kam Philipines
Wabongo wengi wachawi mkuu hasa hao wa idara hiyo, eti wananambia usione usumbufu dada tunakuhurumia usije enda huko ukarudi maiti nikawauliza kwani nikifa nyie mtapata hasara gani?
 
Hata kama unazamia ni muhimu unaplan kabla unakwenda kufanya nini huko.....
sio umakwenda bila kujua ni shughuli gani hasa unakwenda kufanya mbaya sana hii manake mwishowe unajikuta ni drugg dealer......
Haya mambo ya kufikiria sana ndo yanatuponza wengi. Unakaa unapanga wee mipango mipango mpaka unazeeka

Ukiwaona wanaijeria au wakenya walivyojaa diaspora huwezi kuwa na akili kama hizi za kukaa mpaka uwe na mpango. Kujilipua ni kujilipua tu

Sasa hivi kuna vizazi vya pili na vya tatu vya watoto wa kinaijeria marekani,UK na Scandinavia huko wanafanya kazi za maana ila wazazi waliingia kwa mitikasi hivi hivi(bila kupanga)

Matajiri wa kihindi UK(Wanaendesha uchumi wa bibi saiv) waliingia kwa mitikasi

Warusi UK woote wameanzia kwenye magenge ya uhalifu

Waitaliano wote USA na waIreland wameanzia kwenye magenge ya uhalifu

Sometimes uoga wetu ndo umetufikisha hapa...Mambo yakishakua magumu the end justifies the means mkuu
 
Back
Top Bottom