Nataka nipeleke Bangi ya Arusha mpaka S. Africa.
Mliofika mnaweza kunipa details
Kanunue zile viatu mnaita raba mtoni utafute nzuri namba iwe kuanzia namba saba au nane utafute zile raba kali osha vizuri uhakikishe kiatu kinang’aa halafu hakina damage za kijinga kwa ufupi kisichanike sehemu halafu wewe safiri nazo hadi boda ya south utauza sana na faida utapata kupita kawaida, kuliko kuuza bange ni mbaya hiyo