Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji117] kaka nilipatwa na huzuni sana, pamoja na kuwa sikufahamu kumbe upo kaka. Habari za wapi mkuu maana ni kama vile ume fufuka sija wahi kukuona kwenye jukwaa lolote humu. Pia naomba umalizie story yako kaka, story ni ya kuvuti sana .

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Nipo Mkuu nitarudi tumalizie nilipoishia
 
Nakushauri hii stori uiuze. Wataalamu wa mifumo wakusaidie kutengeneza namna mtu anavyoweza kuisoma kwa kulipia japo elfu 3 hivi kwa Tigopesa au mpesa au mtandao wowote. Wakisoma watu 2000 ni milioni 6. Hapo hautapata uvivu wa kuimalizia.

Nimepokea ushauri mkuu
 
Back
Top Bottom