Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

Kweli ww mtata. Tungepata watu kama ww 500 fisiemu wanaondoka kwenye sanduku la kura saa nne asubuhi.
 
Nina kesi kama yako ,kuna kiwanja nilinunua nikasafiri kwa mwaka mmoja kipo kahama,niliporudi nilkuta dalali ameshakiuza na kuna nyumba inajengwa,nimeenda mahakamani hakimu ni kama wamemuhonga yaan napata usumbufu nataman kama kuna mtu anweza knisaidia aje pm anisaidie namna ya kunisaidia
 
Umekua unaharibu nyuzi za watu sana sijui tatizo lako kuwa na makasiriko hivi
Ahsante sana kaka kwa kuliona hilo,nishamueleza jamaa kitambo mwanaume hawi hivyo tena wakati mwingine anawatolea watu maneno machafu sijui anajiona nani,[emoji304][emoji304][emoji304][emoji304] uwa wanazingua sana
 
Lol pole sana kwa upweke mkuu! Leo Humu sijazurura sana Usijareee ntakua nakuita tuzuzurezurure pamoja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…