Nilivyomkomesha tapeli wa viwanja Kivule Dar es Salaam

Aisee pole sana pole sana ndugu.
Maisha ya Dar yana songombingo nyingi sana.

ungekua na imani na mitishamba ningekuelekeza mahali flani Geita ukarekebishe mambo
 
Nadhanj hujakutana na watu washenzi tena ukienda kununua viwanja sehemu bado watu hawajaanza kujenga jenga wanaweka na kiofisi ushenzi na bendera ya taifa na mihuri kumbe wote jopo la matapeli
Kweli matapeli wapo wengi ila unaongeza risk kwa kusainia saiti na mihuri hapo hapo.

Sainisha mikataba kwenye ofisi inayoeleweka ya mtendani nk itakusaidia hata ukiwa na kesi....
 
Kweli matapeli wapo wengi ila unaongeza risk kwa kusainia saiti na mihuri hapo hapo.

Sainisha mikataba kwenye ofisi inayoeleweka ya mtendani nk itakusaidia hata ukiwa na kesi....
Ndo hizo ofisi wanakuambia za mtendaji kumbe matapeli, kule mapinga ndani wanaita kielege sikumbuki vizur ilitutokea sema kuna jamaa akatusbtua kabla ya malipo ila ilikua ni kwenda kulizwaa na ofisi za mtanaji tumeenda kumbe ni magumashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…