Aiseee🤣😍Yaah namuelewa sana NoncChalant 🤣.
Hapo anavuta kasi/anajipanga kuja kuimalizia simulizi yake! Point nyingine atazipatia humuhumu kutokana na comments zenu, wadau wa simulizi.Msimuliaji wa ajabu sana. Kasimulia story yake ukurasa wa kwanza halafu kaanza kujibu komenti zote za members hadi ukurasa wa 12.Ngoja tuone.😎
Vishu Mtata, Nampa na ua huyu 🌹🤣Aiseee🤣😍
Kunakoendelea, utaiona kazi Evelyn Salt .Sijaelewa hata huyu boda alikua anaiba nini?
Hahahaha.......Nimeshalivagaa jukwaa kwa pupa mkuu.