Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

I understand what you feel 🥲
 
 
Mimi mkimya lakini nakosa utulivu nakuwa nina hofu mdamwingi sijui kwanini
Pole mkuu Inaweza kusababishwa na:

1. Mawazo mengi.
2. Hofu ya maisha ya baadaye.
3. Matukio yako ya zamani.
4. Afya ya akili (mfano, wasiwasi).



Jaribu haya:
1.Ongea na mtu unayemwamini.
2.Pumzika sana na fanya meditation kilasiku.
3.Fanya kitu unachopenda.
4.Tafuta msaada wa kitaalamu ikiwa hali inaendelea.

Au unaona dalili zozote zinazokusumbua zaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…