Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Nilivyonusurika kufa: Niliingia na kujinasua katika kundi hatari la uhalifu

Story nzuri, nimeipenda...tatizo huwa haziishi, mnazikimbia.

Hivi kwa nini watu wa Mbeya ni wakatili, katika matukio ya kijambazi huwezi kukosa "a man from Mbozi/Mbeya"
Kujiamini kupitiliza (over confidence), kuna mnyakyusa ni mwanangu, yule jamaa ana mwili kama senene/panzi na bonge la bezi, mkiwa bar likianzishwa vagi humkosi.
Wanajikutaga hawapendi unyonge.
 
Kwenye kuogoopwa hapo 🤔🤔🤔, Au unawapigaga?
hapana sio mtu wa vurugu ni mkimya sana..hata katika uongeaji wangu ni wa kihekima sana na taratibu, Sipendi sehem zenye kelele na msongamano yaani mtu akinipeleka kariakoo ndani ya nusu saa huwa nataka niondoke hilo eneo maana linaniumiza.
Ila ni mtu ninayependa mambo ya kanisani/Ibada, Kelele za kanisani haziniumizi na moyo wangu unakua na amani.
Situmii kilevi chochote kile! starehe yangu ni good music ( Old is Gold music mifano ile mizik za kina Chaka khan, bill ocean( Carribean queens), Laura bargain( in the night no control, Cool & gang, and the like! Pia napenda hip hop pia, MOVIES, e.tc), Chakula kizuri, Beaches, Napenda Nature, Napenda kusafiri sana..e.tc

Watu wanadhani mimi ni mtu wa system maana hawaijui hata kazi yangu ila wanaona naishi vizuri tu.
 
Back
Top Bottom