Nilivyonusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali miaka 15 iliyopita. Tanzania kufariki ni dakika 0 tu!

Mama wa watu alizani unataka kuiba kobazi zake wakati wewe ulikua una ifadhi kobazi zako zisi patwe na haja ndogo
 
Haya mambo ya kuomba msaada kujisaidia sio mazuri Bora kuingia kichakani usipende shambanibnamaani kichaka cha serikali kichafue kwa haja ndogo au kubwa hamna tabu
 
Balaa sana, nilikuja kufanya uchunguzi niligundua yule mama alikuwa ni mgombea wa udiwani mtaa ule kupitia chama Cha cuf akawa amepigwa chini, kwa hiyo kila mtu aliekuwa anapita kwake alikuwa anamuona kama "snitch ".
hahaha watu wa ile mitaa ni radical sana ila saiv nahis patakua pamebadilika kidogo
 
Sasa haja ndogo hadi ukaombe kwenye nyumba za watu?
Ndo Mana sisi watu pori tunasubala maporini hatutak shobo za kijinga kuja kuponza uhai wetu Kwa vitu vidogo tu et kamkojo.
Ila pole sana mkuu ndo Dunia ilivyo (maisha ni vita) mda wote upo vitani ad pale siku ya mwisho kuiaga Dunia 🙏🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…