Nilivyotapeliwa Tsh 500,000 na wanaoagiza bidhaa kutoka China

Nilivyotapeliwa Tsh 500,000 na wanaoagiza bidhaa kutoka China

Download app ya kikuu jiunge uagize mwenyewe kila mkoa wana ofisi, mimi nilianza kuagiza kikuu 2017, sikuwa na imani nao, mara ya kwanza mzigo ukaja nikaagiza tena na tena mpaka leo sijawahi tapeliwa.

Kwanza unalipa mpesa au mtandao wowote moja kwa moja kikuu na unakuwa unafatilia mzigo umefika wapi na ukifika kituon kukuu wenyewe ndo wanakujulisha uende fata kikuu.

Mimi nagiza hata ya 150000 na inafika.sema kama ni nguo wanaweza kosea size.ila unaruhusiwa kuirudisha tena na hiyo hela ukaagiza kitu kingine.

Hao wa insta mi wezi kuna mwingine alipigwa

Polee sana.
 
Hawa huwa wanaagiza kwa mfumo wa "crowd funding" ili kupata kwa Bei nafuu.

Kwahiyo huyu hajatapeliwa na Wauzaji. Katapeliwa na mkusanya pesa, maana wengi Ni watu wa mitandaoni wqnaounganishwa tu kupitia WhatsApp group
Loose cargo ni same concept, unachajiwa kwa kilo ama Square metre, Container moja munaweza kushare watu kibao.
 
Download app ya kikuu jiunge uagize mwenyewe kila mkoa wana ofisi, mimi nilianza kuagiza kikuu 2017, sikuwa na imani nao, mara ya kwanza mzigo ukaja nikaagiza tena na tena mpaka leo sijawahi tapeliwa.

Kwanza unalipa mpesa au mtandao wowote moja kwa moja kikuu na unakuwa unafatilia mzigo umefika wapi na ukifika kituon kukuu wenyewe ndo wanakujulisha uende fata kikuu.

Mimi nagiza hata ya 150000 na inafika.sema kama ni nguo wanaweza kosea size.ila unaruhusiwa kuirudisha tena na hiyo hela ukaagiza kitu kingine.

Hao wa insta mi wezi kuna mwingine alipigwa

Polee sana.
Kikuu quality za bidhaa zao ndogo
 
huyu dada nimempigia nikajifanya askar kajielezea mambo mengi sana alaf ni bint mdogo miaka 22

ila kazi ya uhakim ni ngum sana yan ukimsikiliza unaeza muona km muungwana
 
Niliona ana watu wengi wanaoagiza na ofisi nikajilipua
Nahisi hao uliyo wanna wanajuana wewe ndo ulikuwa kitoweo
Sahv watu wawe making sana katika kuagiza mizigo kuna watu sabwoofer za 190000 wao wana weka bei 60000 then wana kwambia tuna agizia mzigo china kwahiyo unatakiwa utume pesa then unasubiri mzigo ufike ndo kama ivi una subiri mwezi 1 ,2, 3 mapa sita kuja kushtuka umesha pigwa siku nyingi
Screenshot_20220214-195222_Instagram.jpg
 
Yah kuna jamaa zangu wengi wanaagiza na mzigo unafika tatizo huyu mchaga ametapeli mara ya kwanza badala atulie anaendelea kutapeli wengine
Tatizo siyo huyo ''mchaga'' bali tatizo ni ujinga wako. 1. Kwa ujinga wako umeamini una deal na mwanamke tena mchaga 2. Unatuma fedha kwa mtu ambaye humjui.
Funguka ubongo mazee, changamsha akili. Huyo anaweza kuwa mwanaume anayetumia jina la kike ili kuwapiga mazoba kama wewe. Dunia ya leo unatapeliwa kilaini namna hii?
 
huyu dada nimempigia nikajifanya askar kajielezea mambo mengi sana alaf ni bint mdogo miaka 22

ila kazi ya uhakim ni ngum sana yan ukimsikiliza unaeza muona km muungwana
hahahahahaha nimecheka sana
 
Katika harakati zangu za kutafuta maisha.

Kuna jamaa flani akanipa mchongo wa kuagiza mzigo China akaniambia ila niwe na uvumilivu.

Kijana nikajikusanya kila kitu nikafuatilia nikaunganishwa na tapeli mmoja mwanamke alikuwa na ofisi feki Kigamboni.

Alikuwa na acount Instagram Login • Instagram anapost vitu anavyoagiza na alikuwa na group la WhatsApp nikaunganishwa nikatoa oda yangu.

Nikathibitisha muamala nikasubiri mzigo ufike sasa.

Mwezi 1 ukapita, wa 2 wa sita nikashtuka kwenye group niko peke yangu.

Instagram kashafuta picha zote akabadilisha biashara.

Namba yake ni +255 689 652 136, Jina Pendo Minja

Na wasaidizi wake ni 0699 696 598 Salma 0764 643560 Chomba

Sasa hawa mchezo wao ni kutengeneza groups za kuagiza mizigo China, then wanakusanya hela za watu halafu wanavunja group.

Bahati mbaya niko mkoani sikuweza kufatilia zaidi.

Ila nimeona magroup yao sehemu nyingine wanachangisha watu huku wakiwadanganya na picha za bidhaa.

Huu umeshakuwa mchezo wao kuweni makini na hao watu.

Nb. nina ushahidi wa kila kitu

View attachment 2128502View attachment 2128524
Blindly kabisa unatoa/unatuma hela bongo hujafika ofisin.. et sabab yuko na picha instagram na facebook na whatsapp grp... Mkuu....

You need to fix youuu kwanza kabla ya yote.. hebu kaza nati fulan fulan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo siyo huyo ''mchaga'' bali tatizo ni ujinga wako. 1. Kwa ujinga wako umeamini una deal na mwanamke tena mchaga 2. Unatuma fedha kwa mtu ambaye humjui.
Funguka ubongo mazee, changamsha akili. Huyo anaweza kuwa mwanaume anayetumia jina la kike ili kuwapiga mazoba kama wewe. Dunia ya leo unatapeliwa kilaini namna hii?
Kuwa mstaarabu kidogo, tunajifunza kupitia makosa. Uzuri wa mtoa maada ni muungwana sana, wengi wanapigwa mitandaoni lakini wanabaki kimya kwasababu wanaogopa wakisema wataonekana washamba Kwa wanaowaambia mwisho wa siku wengine wanaendelea kutapeliwa. Lengo la mtoa mada ni kutupa fundisho wengine tusijikwae alipojikwaa kwahiyo kumzodoa kama ulivyofanya sio poa.
 
Loose cargo ni same concept, unachajiwa kwa kilo ama Square metre, Container moja munaweza kushare watu kibao.
Kwa Hawa watu sidhani kama issue ni usafiri.

Hapa Ni MOQ kutoka kwa Muuzaji ili mpate kwa Bei ndogo.
 
Kuwa mstaarabu kidogo, tunajifunza kupitia makosa. Uzuri wa mtoa maada ni muungwana sana, wengi wanapigwa mitandaoni lakini wanabaki kimya kwasababu wanaogopa wakisema wataonekana washamba Kwa wanaowaambia mwisho wa siku wengine wanaendelea kutapeliwa. Lengo la mtoa mada ni kutupa fundisho wengine tusijikwae alipojikwaa kwahiyo kumzodoa kama ulivyofanya sio poa.
Naandika kutokana na experience yangu kwa wabongo! Mbongo usipompa ''makavu'' namna hii hajifunzi ng'oo! Haya mambo kila siku tunajadili hapa!
 
Kwa Hawa watu sidhani kama issue ni usafiri.

Hapa Ni MOQ kutoka kwa Muuzaji ili mpate kwa Bei ndogo
Majority ya watu wanaosema wanaagizishia watu vitu china ni matapeli ama wananunua Vitu hapa hapa Tz. Vitu vingi vya ndani kama Furniture, hardware za Ndani, Ngunguo, mapazia, Vyombo etc kuna mapapa ya kichina yanauza bei rahisi sana hata ukiagizishia container za Kutosha ngumu ku compete nao. Labda tu ujitofautishe.
 
Back
Top Bottom