Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
maishakujipanga we umejipanga wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wako wengi kuna mwingine yuko pale makumbusho anaitwa Janeth Kiango fala sana
Kimaishamaishakujipanga we umejipanga wapi?
huyu dada nimempigia nikajifanya askar kajielezea mambo mengi sana alaf ni bint mdogo miaka 22
ila kazi ya uhakim ni ngum sana yan ukimsikiliza unaeza muona km muungwana
Hahaa alikupiga na kitu kizito mkuuWako wengi kuna mwingine yuko pale makumbusho anaitwa Janeth Kiango fala sana
Pole sana hii michezo ipo sanaKatika harakati zangu za kutafuta maisha.
Kuna jamaa flani akanipa mchongo wa kuagiza mzigo China akaniambia ila niwe na uvumilivu.
Kijana nikajikusanya kila kitu nikafuatilia nikaunganishwa na tapeli mmoja mwanamke alikuwa na ofisi feki Kigamboni.
Alikuwa na acount Instagram Login • Instagram anapost vitu anavyoagiza na alikuwa na group la WhatsApp nikaunganishwa nikatoa oda yangu.
Nikathibitisha muamala nikasubiri mzigo ufike sasa.
Mwezi 1 ukapita, wa 2 wa sita nikashtuka kwenye group niko peke yangu.
Instagram kashafuta picha zote akabadilisha biashara.
Namba yake ni +255 689 652 136, Jina Pendo Minja
Na wasaidizi wake ni 0699 696 598 Salma 0764 643560 Chomba
Sasa hawa mchezo wao ni kutengeneza groups za kuagiza mizigo China, then wanakusanya hela za watu halafu wanavunja group.
Bahati mbaya niko mkoani sikuweza kufatilia zaidi.
Ila nimeona magroup yao sehemu nyingine wanachangisha watu huku wakiwadanganya na picha za bidhaa.
Huu umeshakuwa mchezo wao kuweni makini na hao watu.
Nb. nina ushahidi wa kila kitu
View attachment 2128502View attachment 2128524
Umeshachukua mshiko tayarihuyu dada nimempigia nikajifanya askar kajielezea mambo mengi sana alaf ni bint mdogo miaka 22
ila kazi ya uhakim ni ngum sana yan ukimsikiliza unaeza muona km muungwana
Kila mwenye kiu kubwa ya pesa, hushawishika kuiba!Ulienda polisi, ivi kwa Nini wa mlima mrefu wengi wao ni wezi.