Nilivyotapeliwa Tsh 500,000 na wanaoagiza bidhaa kutoka China

Ila mimi naonaga bora kuagiza kupitia aliexpress au alibaba kama mzigo ni mkubwa unamwambia muuzaji akupelekee kwa silent ocean guangzhou biashara imeisha hapo...
 
huyu dada nimempigia nikajifanya askar kajielezea mambo mengi sana alaf ni bint mdogo miaka 22

ila kazi ya uhakim ni ngum sana yan ukimsikiliza unaeza muona km muungwana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuweni makini na haya magroup hasa ya whatssap yameishawagharimu wengi. Mengi ni ya kitapeli.
 
Pole sana hii michezo ipo sana
 
KWa huo mwandiko hata hujashtuka?
 
huyu dada nimempigia nikajifanya askar kajielezea mambo mengi sana alaf ni bint mdogo miaka 22

ila kazi ya uhakim ni ngum sana yan ukimsikiliza unaeza muona km muungwana
Umeshachukua mshiko tayari
 
Pole.
Mtu aumjui kwa namna yeyote ile unamtumiaje hela tena nyingi kiasi icho.
 
Yaani huwezi amini kuna mmoja yupo tabata anauza meza kwa 85,000 wakati zile bei ya kawaida tu umepata kwa 500,000
 
Siku zote tunatafuta hela ili tuzitoe kwa wengine haijalishi utatoa kwa njia gani unaweza kutoa ili ufanyiwe kazi yako, au uitoe kwa kipigo au utapeliwe kwa maneno lakin ni lazima pesa ikifika kwako itoke

Pesa zipo mifukoni kwa watu na watu wanatafuta njia ya kuzitoa kwenye mifuko ya wengine ili zije kwenye mifuko yao kuwa makini usiamini watu kirahisi
 
Biashara za mitandaoni zimeingiliwa na matapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…