Nilivyotapeliwa Tsh 500,000 na wanaoagiza bidhaa kutoka China

Mkuu una matumizi mabaya ya uaminifu
 
Kuna mwengine anapage yake insta inaitwa BEI YA KIWANDANI vitu bei rahisi nikaiona TV warranty 1yrs nikataka kumuuliza kupitia commets, comments kafunga nika muinbox hajibu, nikamtumia ujumbe whatsapp akaniambia hiyo TV ipo. Nikamuuliza utaratibu unakuwaje, akasema unatuma hela then unaletewa mzigo, nikajua huyu tapeli ukimpigia simu hajibu wala hapokei.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…