Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Miye navyopenda amani aisee, yaani nikuangalie nifurahi na roho yangu. Ila 12years duuh. Anaweza akakutania ww ukamfokea maana humpendi kbs.
Hii sio story ya kutunga guys,wanaume mn la kujifunza sisi ni watu wazuri sana but mnatufundisha ukatili,na huwa tukitaka kumalizia mlipoishia lawama zinakuwa nyingii.Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.
Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na kulipa ada,sikuwasumbua tena wazazi kabisa.
Maisha yangu yalibadilika nilipokutana na huyu mwanaume ambaye ndo mume wangu kwa sasa yapata miaka 12 sasa.
Nikiwa binti bikra na nisiye na mambo mengi tukaanza mahusiano Niwe mkweli sikuwahi mpenda kabisa huyu mwanaume nilikubali kuwa nae sababu ya ushawishi mkubwa wa pesa aloutumia kunipata maisha yangu yalibadilika ghafula kiasi marafiki zangu walinotice.
Being naive nilizama penzini na nikashindwa kujitoa kwani nikaanza kuwa tegemezi kwa huyu bwana,nilipigwa matukio nikawa stressed kiasi hata kusoma nikawa siwezi,nilikuwa siruhusiwi kutoka hata kwenda
shopping,kanisani,misibani na popote pale ratiba yangu yote aliimoniter na nilikuwa siruhusiwi kuongea ama kusalimiwa na mwanaume yeyote hata ndugu zangu isipokuwa wale wa kuzaliwa tu.
Maisha yaliendelea nikamaliza chuo nikajisogeza tuishi pamoja kwa tahadhari kubwa sana yakutopata mtoto sababu niliona sio mwanaume naweza anzisha nae maisha kutokana na tabia nilizoziona.
Nilianza ona na tabia zingine ambazo sikuwahi zio hapo kabla alikuwa anatumia vilevi vyote unavyovijua kiasi biashara zikapukutika kutoka kupewa 2milioni per month miaka hiyo ya matumizi tu ya kawaida.nilidunduliza nikanunua na kiwanja mjini.maisha yalibadilika mwanaume akawa hana hata mia.
PART TWO INAKUJA mwanaume pesa imeisha mwanamke kaajiriwa maisha yalikuwaje??comment hapo chini.
endelea basiHii sio story ya kutunga guys,wanaume mn la kujifunza sisi ni watu wazuri sana but mnatufundisha ukatili,na huwa tukitaka kumalizia mlipoishia lawama zinakuwa nyingii.
binti kiziwi naona umekuja na Id mpya, 😌 huu ni mwandiko wako kabisanilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.
Nakuja hapo karibu yako tubanane, nafasi ikikosekana nikupakate 🤗 SeranKuna funzo hapa wacha niketishe![]()
binti kiziwi hawezi kuandika hivi, haupo makini tubinti kiziwi naona umekuja na Id mpya, 😌 huu ni mwandiko wako kabisa
Oyaaaa usiicheleweshe part 2 mwanetu 🫵, hatuna muda kabisa 🤣Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.
Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na kulipa ada,sikuwasumbua tena wazazi kabisa.
Maisha yangu yalibadilika nilipokutana na huyu mwanaume ambaye ndo mume wangu kwa sasa yapata miaka 12 sasa.
Nikiwa binti bikra na nisiye na mambo mengi tukaanza mahusiano Niwe mkweli sikuwahi mpenda kabisa huyu mwanaume nilikubali kuwa nae sababu ya ushawishi mkubwa wa pesa aloutumia kunipata maisha yangu yalibadilika ghafula kiasi marafiki zangu walinotice.
Being naive nilizama penzini na nikashindwa kujitoa kwani nikaanza kuwa tegemezi kwa huyu bwana,nilipigwa matukio nikawa stressed kiasi hata kusoma nikawa siwezi,nilikuwa siruhusiwi kutoka hata kwenda
shopping,kanisani,misibani na popote pale ratiba yangu yote aliimoniter na nilikuwa siruhusiwi kuongea ama kusalimiwa na mwanaume yeyote hata ndugu zangu isipokuwa wale wa kuzaliwa tu.
Maisha yaliendelea nikamaliza chuo nikajisogeza tuishi pamoja kwa tahadhari kubwa sana yakutopata mtoto sababu niliona sio mwanaume naweza anzisha nae maisha kutokana na tabia nilizoziona.
Nilianza ona na tabia zingine ambazo sikuwahi zio hapo kabla alikuwa anatumia vilevi vyote unavyovijua kiasi biashara zikapukutika kutoka kupewa 2milioni per month miaka hiyo ya matumizi tu ya kawaida.nilidunduliza nikanunua na kiwanja mjini.maisha yalibadilika mwanaume akawa hana hata mia.
PART TWO INAKUJA mwanaume pesa imeisha mwanamke kaajiriwa maisha yalikuwaje??comment hapo chini.
Yale yale amani ya moyoBora nife kuliko kupakatwa na wewe!
mtoto firauni huyo msikie tu!Yale yale amani ya moyo
Astaghafiru kumbemtoto firauni huyo msikie tu!
Sawa sawa kimbia my usiwe karibu kbsNdio Balqior ni moto wa kuotea mbali!
Ukifika mbezi mwisho nijulishe nimepaki boxer kushoto kwako nyeusi.Sitaki kabisa!![]()
wee! usinambie unaendesha na boxer kabisa!😱Ukifika mbezi mwisho nijulishe nimepaki boxer kushoto kwako nyeusi.
Mwanaume pesa imeisha mwanamke kaajiriwa maisha yalikuwaje?Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.
Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na kulipa ada,sikuwasumbua tena wazazi kabisa.
Maisha yangu yalibadilika nilipokutana na huyu mwanaume ambaye ndo mume wangu kwa sasa yapata miaka 12 sasa.
Nikiwa binti bikra na nisiye na mambo mengi tukaanza mahusiano Niwe mkweli sikuwahi mpenda kabisa huyu mwanaume nilikubali kuwa nae sababu ya ushawishi mkubwa wa pesa aloutumia kunipata maisha yangu yalibadilika ghafula kiasi marafiki zangu walinotice.
Being naive nilizama penzini na nikashindwa kujitoa kwani nikaanza kuwa tegemezi kwa huyu bwana,nilipigwa matukio nikawa stressed kiasi hata kusoma nikawa siwezi,nilikuwa siruhusiwi kutoka hata kwenda
shopping,kanisani,misibani na popote pale ratiba yangu yote aliimoniter na nilikuwa siruhusiwi kuongea ama kusalimiwa na mwanaume yeyote hata ndugu zangu isipokuwa wale wa kuzaliwa tu.
Maisha yaliendelea nikamaliza chuo nikajisogeza tuishi pamoja kwa tahadhari kubwa sana yakutopata mtoto sababu niliona sio mwanaume naweza anzisha nae maisha kutokana na tabia nilizoziona.
Nilianza ona na tabia zingine ambazo sikuwahi zio hapo kabla alikuwa anatumia vilevi vyote unavyovijua kiasi biashara zikapukutika kutoka kupewa 2milioni per month miaka hiyo ya matumizi tu ya kawaida.nilidunduliza nikanunua na kiwanja mjini.maisha yalibadilika mwanaume akawa hana hata mia.
PART TWO INAKUJA mwanaume pesa imeisha mwanamke kaajiriwa maisha yalikuwaje??comment hapo chini.
ila wanawake...kwa hiyo kwa miaka 12 uliyokaa naye akiwa na hela hukuona hizo tabia zake....ila alipoishiwa ndio ukaziona.... 😀 😀 😀Nilianza ona na tabia zingine ambazo sikuwahi zio hapo kabla alikuwa anatumia vilevi vyote unavyovijua