ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Niache kwanza, nina msongo😅🤣🤣Nini hicho?
Niache kwanza, nina msongo😅🤣🤣Nini hicho?
Duhh! Katika kitu nilishindwaga ni kuwa na hao wazee kipindi nasoma! Sijui watu wana uajsiri gani!Huyo I am sure ni Mzee wa makamo huwa ndio wako hivyo huwa wanaamini kwenye pesa
Pambana na hali yako🤣🤣Niache kwanza, nina msongo😅
Kwani wewe umeelewajeUnataka kusemaje sasa?
Unanilatisha sana tamaa! Unaniudhi sana!!Pambana na hali yako🤣🤣
Njaa inapelekea hata kupoteza utu wakoDuhh! Katika kitu nilishindwaga ni kuwa na hao wazee kipindi nasoma! Sijui watu wana uajsiri gani!
Wanawake ni viumbe vya kipekee ndugu, anaweza subiri hata kwa miaka 25, then akalianzishamtu humpendi unaishi naye miaka 12 mnawezaje?
Kwani hakuna vijana wenye pesa?Njaa inapelekea hata kupoteza utu wako
Kata tu.Unanilatisha sana tamaa! Unaniudhi sana!!
Sijaelewa.Kwani wewe umeelewaje
hahahaaa🤣🤣🤣Bora nife kuliko kupakatwa na wewe!
Wapo ila wachacheKwani hakuna vijana wenye pesa?
wapo wengi tu sema wengi hawashoboki na mademu wanawabadilisha kama nguo, huo muda wa kuhudumia mmoja ndio point yako inapoingia!Wapo ila wachache
JF imekuwa na stori sana siku hizi.Na wewe utakuwa punguani nini?kama hukumpenda huyo mwanaume kwa nini ushawishike sasa kuwa naye?labda kama ni hadithi ya kufurahisha genge
Kusema ni wachache nimelenga hivi vijana huwezi kukuta anatoa ovyo ovyo kama mzeewapo wengi tu sema wengi hawashoboki na mademu wanawabadilisha kama nguo, huo muda wa kuhudumia mmoja ndio point yako inapoingia!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nikiona mtu na story yake anaanza mambo ya comment hapo chini, like your not serious...ndo Hance Mtanashati anaponikosha na☕