ndo hiyohiyo kavurugwa, aki relax atarekebisha!Part two!!
Iko wapi???
ndio kazinduka hospital 😁ndo hiyohiyo kavurugwa, aki relax atarekebisha!
Hahaha kwani anaumwa?ndio kazinduka hospital 😁
Myoonshe upendavyo 😂
Hela si zimeisha
Hii story mme wake alimshituki akampa kipigo cha nguvuHahaha kwani anaumwa?
Oya Natafuta Ajira ajira ni ngumu zingine zinapatikana kwenye ndoa, haya turudi kwenye mada sasanimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.
Dah ila kupigwa sio mchezo! Hapana sasa hivi hana mia hivyo hapigi kabisa!Hii story mme wake alimshituki akampa kipigo cha nguvu
Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.
Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na kulipa ada,sikuwasumbua tena wazazi kabisa.
Maisha yangu yalibadilika nilipokutana na huyu mwanaume ambaye ndo mume wangu kwa sasa yapata miaka 12 sasa.
Nikiwa binti bikra na nisiye na mambo mengi tukaanza mahusiano Niwe mkweli sikuwahi mpenda kabisa huyu mwanaume nilikubali kuwa nae sababu ya ushawishi mkubwa wa pesa aloutumia kunipata maisha yangu yalibadilika ghafula kiasi marafiki zangu walinotice.
Being naive nilizama penzini na nikashindwa kujitoa kwani nikaanza kuwa tegemezi kwa huyu bwana,nilipigwa matukio nikawa stressed kiasi hata kusoma nikawa siwezi,nilikuwa siruhusiwi kutoka hata kwenda
shopping,kanisani,misibani na popote pale ratiba yangu yote aliimoniter na nilikuwa siruhusiwi kuongea ama kusalimiwa na mwanaume yeyote hata ndugu zangu isipokuwa wale wa kuzaliwa tu.
Maisha yaliendelea nikamaliza chuo nikajisogeza tuishi pamoja kwa tahadhari kubwa sana yakutopata mtoto sababu niliona sio mwanaume naweza anzisha nae maisha kutokana na tabia nilizoziona.
Nilianza ona na tabia zingine ambazo sikuwahi zio hapo kabla alikuwa anatumia vilevi vyote unavyovijua kiasi biashara zikapukutika kutoka kupewa 2milioni per month miaka hiyo ya matumizi tu ya kawaida.nilidunduliza nikanunua na kiwanja mjini.maisha yalibadilika mwanaume akawa hana hata mia.
PART TWO INAKUJA mwanaume pesa imeisha mwanamke kaajiriwa maisha yalikuwaje??comment hapo chini.
Ana hiyo nguvu sasa anaanzaje kwanza.Hii story mme wake alimshituki akampa kipigo cha nguvu
ni wanawake wengi huzungumza hivyo ndio maana ninawaambia watu kabla hujaoa mwanamke yoyote ongea na wakubwa wake wakueleshe vizuri huyo mwanamke ni mwanamke wa aina gani ila mimi nikisema baadhi wanaona as if naongea kitu ambacho sio kweli jamaa alikua anapondewa haswa hapo kwenye pesa sababu vikwazo alivyowekewa ni vingi mnoo hata ningekua mimi ningeachia mali iende sio kwa vile vikwazo na kuwekewa mahitaji ya gharama za juu mno kumbe lengo tu lilikua ni ashindwe kumuoa ila jamaa hakushindwa alilipa gharama zote kila kitu aligharamikia hata kwa kukopa akiahidi atalipa akishafunga ndoa ila kikubwa akuweke huyu mwanamke wake ndani na pesa ikamwagika vya kutoshaNikiwa binti bikra na nisiye na mambo mengi tukaanza mahusiano Niwe mkweli sikuwahi mpenda kabisa huyu mwanaume nilikubali kuwa nae sababu ya ushawishi mkubwa wa pesa aloutumia kunipata maisha yangu yalibadilika ghafula kiasi marafiki zangu walinotice.
Si mnasemaga mwanamke humpenda zaidi yule aliyemzindua/mtoboa/mbikiri?.Niwe mkweli sikuwahi mpenda kabisa huyu mwanaume nilikubali kuwa nae sababu ya ushawishi mkubwa wa pesa aloutumia kunipata...
Hivi unajua kwa baadhi ya wadada, wakitoa mtura ni kwamba wamemthamini sana huyo mwanaume, sio kwamba wanampa mtura kila mtu.anapenda mitura so kuweka kiungo changu rehani ndio sitaweza!
sijawahi sikia huu upumbavu popote labda kwako!Hivi unajua kwa baadhi ya wadada, wakitoa mtura ni kwamba wamemthamini sana huyo mwanaume, sio kwamba wanampa mtura kila mtu.
Ndo maana utasikia baadhi ya kesi kwenye ndoa, mke akichepuka huko nje anaenda kutoa mtura, akirudi ndani ya ndoa hataki aguswe hata tako na mmewe Seran
Tembea mitandaoni uone confession za ndoa, nyingi zinatisha Seransijawahi sikia huu upumbavu popote labda kwako!
Kila gender ina wema na wabaya Seranili niendelee kuogopa zaidi hiyo gender yenu?
Kwani mkuu mtura ni nini?Hivi unajua kwa baadhi ya wadada, wakitoa mtura ni kwamba wamemthamini sana huyo mwanaume, sio kwamba wanampa mtura kila mtu.
Ndo maana utasikia baadhi ya kesi kwenye ndoa, mke akichepuka huko nje anaenda kutoa mtura, akirudi ndani ya ndoa hataki aguswe hata tako na mmewe Seran