Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Na cuka!Ila bwana harufu ya serengeti na mnazi tofauti, ss alipoishiwa si kaanza mnazi ndiyo balaa ilipoanza.
Na cuka!Ila bwana harufu ya serengeti na mnazi tofauti, ss alipoishiwa si kaanza mnazi ndiyo balaa ilipoanza.
Muulize mleta story kilichomkutaDah ila kupigwa sio mchezo! Hapana sasa hii hana mia hiyo hapigi kabisa!
Tusubiri part III 😁Muulize mleta story kilichomkuta
Kwani hio alioiweka ni part gani?Tusubiri part III 😁
Kachanganya madesa!Kwani hio alioiweka ni part gani?
Ishia uko uko na part 3 yako mpuuzi wewe.PART THREE
Maisha yakaendelea,nikaanza rasmi kusimamia majukumu ya nyumbani hapo sijawaambia tulipata watoto mapacha 2 bwana akiwa bado na hela,so watoto wakakua mimi ndo ada ndo kila kitu,bwana kazi yake ikawa kuamka na kukaa tu na kuwatch tv,mimi busy na kupambana mambo yaende, stress zikamvaa balaa no intimacy tukawa tunaishi tu kama ndugu for almost 3yrs na sikuchepuka me umalaya sio mambo yangu heshima kama mke ilikuwa palepale,badae nikaanza kuchoka nikimpa mtaji afanye bizness hataki yani hataki chochote anataka kukaa tu.
Naomba nième ukweli huyu mwanaume pamoja na kunispoil na hela nyingi lakini cha moto nilikiona nilikuwa nateswa physically na emotionaly nikianza kupigwa saa 3 usiku mpaka saa 6 ndo anaacha,sababu unakuta nilimsalimia tu baba wa jirani hilo ni kosa kubwa,kukikucha anakuwekea kwenye akaunti big money ya kukupoza.alikuwa(ga) akipiga simu ukiwa mbali nayo hujasikia utajuta akirudi,nikaanzaga kuwa na hofu na kuogopa watu nikawa najiisolate na watu.
Wazazi wakawa wanakuja kunitoa kwa nguvu nikawa nakataa najiambia moyoni sitoki hapa mpaka nilipe kisasi nalipaje hata nilikuwa sijui,sasa baada ya huyu bwana kuwa bechi île mission ya kulipa kisasi ikajaa kwenye akili.huyu mwanaume anajuta kunifahamu mimi na yeye tumepishana miaka kumi Hé is older than me but ninamwendesha kama mtoto mdogo na sijuti kwa nnayo mfanyia ALINITESA SANA ENZI ZAKE,Kwa sasa anakula nikitaka naomba nisiendelee kwa sasa let me me calm down.nitaendelea PART 3
Mbona inawezekana vizuri tu.mtu humpendi unaishi naye miaka 12 mnawezaje?
Shikamoo mkuu.Kuna wanaume wapumbavu tu, huyu binti mtamlaumu sana ila the man was so stupid.
Usitumie ukwasi wako kumkandamiza mwanamke, siku meza ikigeuka utalia na wakwako, pesa zenyewe hata hatuwezi kuzilinda, hasa waafrika.
Mwanaume akishajua upo kwaajili ya pesa lazima unyanyasike hicho ambacho dada zetu wanashindwaga kuelewa imenikumbusha Kuna mdada aliingizwa chura kwenye k yake kwa hizi hizi tamaa za kupenda helaKuna wanaume wapumbavu tu, huyu binti mtamlaumu sana ila the man was so stupid.
Usitumie ukwasi wako kumkandamiza mwanamke, siku meza ikigeuka utalia na wakwako, pesa zenyewe hata hatuwezi kuzilinda, hasa waafrika.
Mwanaume akishajua upo kwake kwaajili ya pesa yake kila rangi utaona dada zetu tamaa zenu za pesa zinawaponzaShikamoo mkuu.
Kwani kipindi alimtoa masomoni alikuwa anategemea kipi?Mwanaume akishajua upo kwaajili ya pesa lazima unyanyasike hicho ambacho dada zetu wanashindwaga kuelewa imenikumbusha Kuna mdada aliingizwa chura kwenye k yake kwa hizi hizi tamaa za kupenda hela
Unataka kusemaje sasa?Mwanaume akishajua upo kwake kwaajili ya pesa yake kila rangi utaona dada zetu tamaa zenu za pesa zinawaponza
Najua unanikubali japo umeniachaShikamoo mkuu.
Naomba hela.Najua unanikubali japo umeniacha
Ile nini ya laki mbili? Pmbv!!!Naomba hela.
🤣🤣Nini hicho?Ile nini ya laki mbili? Pmbv!!!
Huyo I am sure ni Mzee wa makamo huwa ndio wako hivyo huwa wanaamini kwenye pesaKwani kipindi alimtoa masomoni alikuwa anategemea kipi?