Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Ni usafiri au unataka RAV 4 eti?wee! usinambie unaendesha na boxer kabisa!😱
Ni usafiri au unataka RAV 4 eti?wee! usinambie unaendesha na boxer kabisa!😱
Ila bwana harufu ya serengeti na mnazi tofauti, ss alipoishiwa si kaanza mnazi ndiyo balaa ilipoanza.ila wanawake...kwa hiyo kwa miaka 12 uliyokaa naye akiwa na hela hukuona hizo tabia zake....ila alipoishiwa ndio ukaziona.... 😀 😀 😀
Sasa nitatakaje usafii wa mtu? sipatii tu picha unavyokuwa umeshikilia usukani 🤣Ni usafiri au unataka RAV 4 eti?
usiombe uishiwe, unaweza kuambiwa "kwanza mtu mwenyewe una makengeza" wakati hunaIla bwana harufu ya serengeti na mnazi tofauti, ss alipoishiwa si kaanza mnazi ndiyo balaa ilipoanza.
Teh teh basi kuna m2 wangu mmoja ndiyo zake teena yale makubwa alafu boooonge la pisi.Sasa nitatakaje usafii wa mtu? sipatii tu picha unavyokuwa umeshikilia usukani 🤣
Yaani ukiishiwa kasoro zako ndiyo zinaonekana kwa uwazi mpk na inzi wanazijua.usiombe uishiwe, unaweza kuambiwa "kwanza mtu mwenyewe una makengeza" wakati huna
Uwii sio muoga kabisa! kuna mmoja huwa namuona tiktok ni bike yuko vizuri sana, ila ananunua zile za kuanzia 4m+Teh teh basi kuna m2 wangu mmoja ndiyo zake teena yale makubwa alafu boooonge la pisi.
Siyo huyo yeye akiamua ile kuvuruga tuu waja basi analikurupua huko stoo. Utaona yupo road anapiga misele. Maana gari analo yule.Uwii sio muoga kabisa! kuna mmoja huwa namuona tiktok ni bike yuko vizuri sana, ila ananunua zile za kuanzia 4m+
Halina makelele?😆Siyo huyo yeye akiamua ile kuvuruga tuu waja basi analikurupua huko stoo. Utaona yupo road anapiga misele.
Ina kelele lkn hajali, ss akishuka badala watu waangalie bike wanamshangaa yy maana ni pis ya kwendea kwa kalumanzila kbs ile ikae sawa watu wawe marioo shenzi type.Halina makelele?😆
Aisee naomba nimuone namimi nishangae kama watu wa huko barabarani🫠👌🏽Ina kelele lkn hajali, ss akishuka badala watu waangalie bike wanamshangaa yy maana ni pis ya kwendea kwa kalumanzila kbs ile ikae sawa watu wawe marioo shenzi type.
Dah! 🤣binti kiziwi naona umekuja na Id mpya, 😌 huu ni mwandiko wako kabisa