Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

Nilikuwa binti mtulivu sana ktk usichana wangu,mpaka naanza chuo mwaka wa kwanza simjui mwanaume kabisa,nilikuwa binti mzuri sana na mwenye tabia njema sikua na mapepe kabisa,nimelelewa kwenye familia ya uchumi wa chini kiasi.

Nilipofika chuo nilipata mkopo na nikawa nautumia kujikimu pamoja na kulipa ada,sikuwasumbua tena wazazi kabisa.

Maisha yangu yalibadilika nilipokutana na huyu mwanaume ambaye ndo mume wangu kwa sasa yapata miaka 12 sasa.

Nikiwa binti bikra na nisiye na mambo mengi tukaanza mahusiano Niwe mkweli sikuwahi mpenda kabisa huyu mwanaume nilikubali kuwa nae sababu ya ushawishi mkubwa wa pesa aloutumia kunipata maisha yangu yalibadilika ghafula kiasi marafiki zangu walinotice.

Being naive nilizama penzini na nikashindwa kujitoa kwani nikaanza kuwa tegemezi kwa huyu bwana,nilipigwa matukio nikawa stressed kiasi hata kusoma nikawa siwezi,nilikuwa siruhusiwi kutoka hata kwenda
shopping,kanisani,misibani na popote pale ratiba yangu yote aliimoniter na nilikuwa siruhusiwi kuongea ama kusalimiwa na mwanaume yeyote hata ndugu zangu isipokuwa wale wa kuzaliwa tu.

Maisha yaliendelea nikamaliza chuo nikajisogeza tuishi pamoja kwa tahadhari kubwa sana yakutopata mtoto sababu niliona sio mwanaume naweza anzisha nae maisha kutokana na tabia nilizoziona.

Nilianza ona na tabia zingine ambazo sikuwahi zio hapo kabla alikuwa anatumia vilevi vyote unavyovijua kiasi biashara zikapukutika kutoka kupewa 2milioni per month miaka hiyo ya matumizi tu ya kawaida.nilidunduliza nikanunua na kiwanja mjini.maisha yalibadilika mwanaume akawa hana hata mia.

PART TWO INAKUJA mwanaume pesa imeisha mwanamke kaajiriwa maisha yalikuwaje??comment hapo chini.
Wewe ni kiande.

Umepata kazi mwanaume kafilisika ndio unagundua humpendi. Mwanzo hukuona? Unasingizia nguvu ya pesa!!! B!tch is always a b!tch no maraa woti...
 
Mwanaume aliyekulea wewe kama mtoto wake kuanzia upo chuo huo ni wema wa hali ya juu.
Kuna muda aliweka mahitaji yake pembeni akatimiza ya kwako.

Ndani ya miezi kadhaa tu ya ndoa ilitosha wewe kumpenda sababu ni baba bora kwa watoto wako.

Ila wewe ni yule mfadhili mbuzi, mwanadamu ana maudhi.
Hii ndio sababu kuu wanaume sasa wanayo ili akuoe lazima angalie Nini una offer kwake kuogopa Mambo kama hayo mwanamke angekuwa kawekeza kila kitu kwa mwanaume wake hawezi kufanya hiyo kitu kama mtoa mada watu wanaofanya hivyo ni wale ambao wamezoea kupokea pekee bila kutoa chochote zaidi ya uchi wake
 
Kuna siku nili comment sehemu kua baadhi ya wanawake tena walio wengi wapo kwenye ndoa kwa maslahi binafsi upendo hamna wadau wakanijia juu
Inahuzunisha, ila sometimes nawaelewa, inatokea sababu wanaume unaowataka hawakutongozi, wakikutongoza ni wanapiga na kusepa, au wanakua na tabia usizoweza vumilia, pengine aina ya wanaume unaowapenda bado wanajitafta, wana uchumi mdogo hata ukizaa nao hawawezi lisha mtu zaidi ya tumbo lao, hawapo responsible kwa ujumla kazi kukesha baa na vijiweni

Ukiangalia unaona umri unazidi kwenda, sasa ufanyaje mtu anaona a-settle tu sababu ya umri au uchumi ShesRise_1
 
Inahuzunisha, ila sometimes nawaelewa, inatokea sababu wanaume unaowataka hawakutongozi, wakikutongoza ni wanapiga na kusepa, au wanakua na tabia usizoweza vumilia, pengine aina ya wanaume unaowapenda bado wanajitafta, wana uchumi mdogo hata ukizaa nao hawawezi lisha mtu zaidi ya tumbo lao, hawapo responsible kwa ujumla kazi kukesha baa na vijiweni

Ukiangalia unaona umri unazidi kwenda, sasa ufanyaje mtu anaona a-settle tu sababu ya umri au uchumi ShesRise_1
Kumbe huaga upo timamu eeeh
 
Back
Top Bottom