Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

Hii sio story ya kutunga guys,wanaume mn la kujifunza sisi ni watu wazuri sana but mnatufundisha ukatili,na huwa tukitaka kumalizia mlipoishia lawama zinakuwa nyingii.
 
Oyaaaa usiicheleweshe part 2 mwanetu 🫡, hatuna muda kabisa 🀣
 
Mwanaume pesa imeisha mwanamke kaajiriwa maisha yalikuwaje?
Bila kupepesa macho na hivi ulikuwa muigizaji miaka 12 kazi anayo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…