Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

Uwii sio muoga kabisa! kuna mmoja huwa namuona tiktok ni bike yuko vizuri sana, ila ananunua zile za kuanzia 4m+
Siyo huyo yeye akiamua ile kuvuruga tuu waja basi analikurupua huko stoo. Utaona yupo road anapiga misele. Maana gari analo yule.
 
Mwanaume aliyekulea wewe kama mtoto wake kuanzia upo chuo huo ni wema wa hali ya juu.
Kuna muda aliweka mahitaji yake pembeni akatimiza ya kwako.

Ndani ya miezi kadhaa tu ya ndoa ilitosha wewe kumpenda sababu ni baba bora kwa watoto wako.

Ila wewe ni yule mfadhili mbuzi, mwanadamu ana maudhi.
 
Wakati jamaa alipokuwa na pesa, hakuwa na makosa, na alikuwa bwana mwenye mamlaka.

Haukuyaona makosa au niseme labda uliyakubali kama sehemu ya gharama ya maisha ya kifahari uliyochagua kuyaishi.

Itakuwa ni ukatili mkubwa sana kama utaamua kumuacha huyo mwanaume kipindi hiki ambacho anapitia changamoto kama hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…