Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu


Hii story mme wake alimshituki akampa kipigo cha nguvu
Ana hiyo nguvu sasa anaanzaje kwanza.
 
ni wanawake wengi huzungumza hivyo ndio maana ninawaambia watu kabla hujaoa mwanamke yoyote ongea na wakubwa wake wakueleshe vizuri huyo mwanamke ni mwanamke wa aina gani ila mimi nikisema baadhi wanaona as if naongea kitu ambacho sio kweli jamaa alikua anapondewa haswa hapo kwenye pesa sababu vikwazo alivyowekewa ni vingi mnoo hata ningekua mimi ningeachia mali iende sio kwa vile vikwazo na kuwekewa mahitaji ya gharama za juu mno kumbe lengo tu lilikua ni ashindwe kumuoa ila jamaa hakushindwa alilipa gharama zote kila kitu aligharamikia hata kwa kukopa akiahidi atalipa akishafunga ndoa ila kikubwa akuweke huyu mwanamke wake ndani na pesa ikamwagika vya kutosha

nadhani kimoyomoyo alikua anajisemea wewe si unataka pesa utachezea pesa mpaka uone pesa haitoshi unataka kitu kingine cha kukupa furaha pesa haitoshi nini kingine kinachokupa furaha zaidi ya pesa watoto, familia, nyumba au hekalu la kifahari au gari? Utapewa nini kingine utaka? Hakuna au ni Ajira km ulivyosema wewe unafikiri ajira uliyonayo itakuacha ukiwa na furaha kwa muda gani?

Ushasema jamaa haukumpenda ulizipenda pesa zake ndio ila kakuzalisha na watoto na ndoa umefunga nae ulipenda pesa ndio ila pesa si ulipata au haukupata kwa muda wote miaka yote zaidi ya 12 ushachezea pesa za jamaa mara ngapi mpaka leo?
 
anapenda mitura so kuweka kiungo changu rehani ndio sitaweza!
Hivi unajua kwa baadhi ya wadada, wakitoa mtura ni kwamba wamemthamini sana huyo mwanaume, sio kwamba wanampa mtura kila mtu.

Ndo maana utasikia baadhi ya kesi kwenye ndoa, mke akichepuka huko nje anaenda kutoa mtura, akirudi ndani ya ndoa hataki aguswe hata tako na mmewe Seran
 
sijawahi sikia huu upumbavu popote labda kwako!
 
Kwani mkuu mtura ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…