Nilivyotekwa na Pesa na Kuingia Kwenye Ndoa Ngumu

Kuna wanaume wapumbavu tu, huyu binti mtamlaumu sana ila the man was so stupid.

Usitumie ukwasi wako kumkandamiza mwanamke, siku meza ikigeuka utalia na wakwako, pesa zenyewe hata hatuwezi kuzilinda, hasa waafrika.
 
Ishia uko uko na part 3 yako mpuuzi wewe.
 
Kuna wanaume wapumbavu tu, huyu binti mtamlaumu sana ila the man was so stupid.

Usitumie ukwasi wako kumkandamiza mwanamke, siku meza ikigeuka utalia na wakwako, pesa zenyewe hata hatuwezi kuzilinda, hasa waafrika.
Mwanaume akishajua upo kwaajili ya pesa lazima unyanyasike hicho ambacho dada zetu wanashindwaga kuelewa imenikumbusha Kuna mdada aliingizwa chura kwenye k yake kwa hizi hizi tamaa za kupenda hela
 
Kwani kipindi alimtoa masomoni alikuwa anategemea kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…