Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Nashukuru kwa ushauri aisee ila yule mama kichwa ngumu kwa ufupi wale watoto nilishakata tamaa ya kuwaona
Ninakuamini hii sio evening tea ya pale Southern Hotel!,wenzetu hawa wamekua na kuishi na kufundishwa jinsi ya kusema sorry, thanks, please, ninaamini ukimwomba ile sincerely apology atakuelewa maana wale watoto wewe ndio baba yao, hakuna atakaye badilisha hayo, wenzetu wanathamini sana watoto, tumia sababu ya watoto, Nina hakika utasamehewa
 
Mudy white mtoto wa Sinza town. Kitambo sana. Dogo lake yupo Texas kabwaga mwaka jana. Dogo alikua na kismati mjanja kala sahani moja na wahindi.

Tupewe tu heshima zetu humu, japo tunachangia na kuandika mambo ya ovyo. Ni upande tu mwingine wa kurasa na sio kuwa serious sanaaa ukakosa kujipa raha.
 
Ahaa tunatukanwa na vitoto humu ila sijawahi kuichukulia Jf serious
 
Pole sana,ungetulia hapa bongo na ukaenda vyuo vya kata sahv ungekuwa mtu mkubwa sana hapa bongo
Vyuo vya kata havikuwepo enzi hizo kwa kozi ya sheria kulikuwa na Udsn,Mzumbe na Tumaini tu,Udom haikwepo
Ila mimi sio jobless nilirudi na English na ujanja ujanja wa mbele siwezi kufa njaa
 
Wewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.
 
Ningeandika kila kitu ingekuwa na episode 50
Hujasoma literature mzee,you can put someones life in one page
 
Back
Top Bottom