Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Changamoto kweli hapa maana hatujui kilichowafanya wakosane kiasi hiki.Ni kwamba mama yao kawakataza kuwasiana na wewe ama wewe umekosa namna ya kuwasiliana nao kwenye ulimwengu huu wa kidigitali.