Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Achana nae.Ningeandika kila kitu ingekuwa na episode 50
Hujasoma literature mzee,you can put someones life in one page
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae.Ningeandika kila kitu ingekuwa na episode 50
Hujasoma literature mzee,you can put someones life in one page
Hahahaaa! Hujaelewa nini sa? Si ka summarize tu story au ulitaka aandike itaendelea kesho ngoja nichaji simu kwanza?!Wewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.
We huoni kafupisha stori mkuuWewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.
Hiyo summary yako ungejazia nyama kidogo.Ningeandika kila kitu ingekuwa na episode 50
Hujasoma literature mzee,you can put someones life in one page
Kuna watu wakongwe ila unamkuta anafungua Uzi amemnywesha manzi ake mkojo🤔
Huyo ni muuaji!Tulikuja kukutana baadae akawa anacheka cheka tu
Ungemfata PM kumuuliza angekujibu! Na ww jiulize mbn story za nyuma zote alizowahi kutoa hakuwahi kumiss kupost new Episode tena sometimes anapost mara mbili kwa siku!! Kama amepata ajali kalazwa hospital nyie mnahukumu while hamujui situation aliokua nayo!Story ni tamu sana ila uvumilivu sasa eeeh..... hivi nini kimetokea mbona alikua anatushushia mwanzo mwisho?
Vijana mna tumisemo nyie!Daaah yaani story inafika kwenye Climax ndipo unaruka ruka aiseeeee. 😋😋😋
Bwana wa kizungu auNikapata demu wa kizungu nikazaa nae
Duuuh aiseee,damu yako haiwezi kupotea,watakutafuta tu siku mojaTupicha tunanitia simanzi boss nikiwakumbuka wanangu ambao sina mawasiliano nao
Maisha haya yanatafutwa kwa kila mbinuHizi story za kuzamia zimenikumbusha jamaa tunafahamiana kiasi, kaenda States 2019 hapo kama daktari na hata stethoscope hawezi kuitaja achilia mbali kuijua.
Mwingine kasepa Canada mwaka jana, kufika inabidi ajifanye kakimbia vitendo vya unyanyapaa na ukatili kwa mashoga. Na mshkaji ni muislam safi, na hajui kitu kabisa kuhusu hizo mambo.
Maisha haya yanatafutwa kwa kila mbinu
Wala sijamhukumu boss..... i stated it as a fact.... coz mwisho wa siku story ni yake and he owes us nothing. Tunapita tukiikuta tunasoma tukiikosa maisha yanaendeleaUngemfata PM kumuuliza angekujibu! Na ww jiulize mbn story za nyuma zote alizowahi kutoa hakuwahi kumiss kupost new Episode tena sometimes anapost mara mbili kwa siku!! Kama amepata ajali kalazwa hospital nyie mnahukumu while hamujui situation aliokua nayo!
Mpaka hapo unahitaji psychological healing maana kama unazinguana tu na wanawake una tatizo na ukweli ndoa na mwanamke kabla ya kupona hutaweza. Na ndiyo maana umeshaamua kuwa hutaoa tena. Ambapo kwa mwanaume wakati wa uzee na ugonjwa ambao huwezi kujitegemea ni bed ridden ndiyo utajua umuhimu wa mke na watoto kama ni wakubwa. Na watoto wa kuzaa tu na wanawake na huishi nao bila bond usitegemee wakuhudumie Sana uzeeni. Ninaamini bado unazo nguvu za kuoa hivyo kabla ya kuingia serious relationship nenda Kwanza upate counselling. Maisha ya uzeeni ukiwa na uwapendao ni raha Sana mkuu.Yule mwanamke wa kizungu alifanya niwachukie wanawake wote,nikapata mwanamke wa kichaga baada ya kurudi nchini nae alinizingua sana,nina chuki na wanawake na sitokuja kuoa