Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Wewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.
Hahahaaa! Hujaelewa nini sa? Si ka summarize tu story au ulitaka aandike itaendelea kesho ngoja nichaji simu kwanza?!
 
Wewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.
We huoni kafupisha stori mkuu
 
Ningeandika kila kitu ingekuwa na episode 50
Hujasoma literature mzee,you can put someones life in one page
Hiyo summary yako ungejazia nyama kidogo.
Hapo chini mfano ungefafanua kidogo juu ya huyo jamaa yako wa Newyork aliyekukimbia ili watu waelewe ie hakuwahi kukutafuta tena ama na ww hukuangaika kumtafuta tena au vipi!?
Pili ungezungumzia swala la chuo. Mfano hata baada ya kupata vibarua bado pesa ilikuwa haitoshi kuingia chuo kulipa ada (tuition fee) ama ndio maisha uliamua kuyapeleka kivingine.
Tatu ungefafanua kidogo ulivyokutana na huyo mama wa kizungu mpaka mkawa wapenzi.
Mkuu hizi story hasa hizi za real life watu wanajifunza usichukulie simple simple.
 
Tulikuja kukutana baadae akawa anacheka cheka tu
Huyo ni muuaji!

Akawa anacheka cheka kwa issue serious kiasi hicho!

Sema nyota yako kali ilikusaidia kujichanganya na kukubalika kitaa!

Vinginevyo mkuu, miji mikubwa bila mwenyeji ni sawa na pori lisilopitika, ungeweza kupotea mazima.

Mshukuru sana Mungu.
 
Story ni tamu sana ila uvumilivu sasa eeeh..... hivi nini kimetokea mbona alikua anatushushia mwanzo mwisho?
Ungemfata PM kumuuliza angekujibu! Na ww jiulize mbn story za nyuma zote alizowahi kutoa hakuwahi kumiss kupost new Episode tena sometimes anapost mara mbili kwa siku!! Kama amepata ajali kalazwa hospital nyie mnahukumu while hamujui situation aliokua nayo!
 
Hizi story za kuzamia zimenikumbusha jamaa tunafahamiana kiasi, kaenda States 2019 hapo kama daktari na hata stethoscope hawezi kuitaja achilia mbali kuijua.

Mwingine kasepa Canada mwaka jana, kufika inabidi ajifanye kakimbia vitendo vya unyanyapaa na ukatili kwa mashoga. Na mshkaji ni muislam safi, na hajui kitu kabisa kuhusu hizo mambo.
 
Maisha haya yanatafutwa kwa kila mbinu
 
Kofi moja tu iwe sababu ya kuwa deported kama "Prohibited Immigrant", tena same day unatinga jela? Polisi waliokukamata ndiyo walifanya maamuzi ya kukupakia kwenye ndege bila ya kushirikisha immigration?
 
Ungemfata PM kumuuliza angekujibu! Na ww jiulize mbn story za nyuma zote alizowahi kutoa hakuwahi kumiss kupost new Episode tena sometimes anapost mara mbili kwa siku!! Kama amepata ajali kalazwa hospital nyie mnahukumu while hamujui situation aliokua nayo!
Wala sijamhukumu boss..... i stated it as a fact.... coz mwisho wa siku story ni yake and he owes us nothing. Tunapita tukiikuta tunasoma tukiikosa maisha yanaendelea
 
Yule mwanamke wa kizungu alifanya niwachukie wanawake wote,nikapata mwanamke wa kichaga baada ya kurudi nchini nae alinizingua sana,nina chuki na wanawake na sitokuja kuoa
Mpaka hapo unahitaji psychological healing maana kama unazinguana tu na wanawake una tatizo na ukweli ndoa na mwanamke kabla ya kupona hutaweza. Na ndiyo maana umeshaamua kuwa hutaoa tena. Ambapo kwa mwanaume wakati wa uzee na ugonjwa ambao huwezi kujitegemea ni bed ridden ndiyo utajua umuhimu wa mke na watoto kama ni wakubwa. Na watoto wa kuzaa tu na wanawake na huishi nao bila bond usitegemee wakuhudumie Sana uzeeni. Ninaamini bado unazo nguvu za kuoa hivyo kabla ya kuingia serious relationship nenda Kwanza upate counselling. Maisha ya uzeeni ukiwa na uwapendao ni raha Sana mkuu.
 
Back
Top Bottom