Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Kaka pole sana kwa tatizo ulilopata, hili tatizo la kutelekezwa linauma sana ila kwa kuwa tumeumbwa kusahau, ndio maana sasa unawezapata nguvu kusimulia.

Kama hili tatizo halijakupata, hauwezi kujua uchungu wake.
Mimi naye the same nimekumbwa na tatizo hili USA

BADO akili halifanyi kazi, naamini hata wewe hapo ulipo bado unaguswa na machungu yake kama mimi bado naishi na machungu yake
 
Yaani mbaya zaidi kwenye nchi ya watu,na huna cash ya kutosha??inaumiza sana.pole na wewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii stori angeandika umughaka ingeisha baada ya miaka 10 ijayo, hapa tu kaenda kigamboni anasimulia stori mwezi wa 5 huu
 
Yaani mbaya zaidi kwenye nchi ya watu,na huna cash ya kutosha??inaumiza sana.pole na wewe
Ndugu usiombe ikutokee, machozi yake yanabaki moyoni daima,
Mbaya zaidi unapanda ndege unaongea na mwenyeji wako anasema ndio njoo
Ukifika unashuka kwenye ndege kwa furaha Amarica ndio.hii nimekanyaga ila dakika chache tu furaha jugeuka kuwa chungu
 
Hapo ndio akili inachemka mpaka unapagawa
 
Ila ndugu vipi ukifungua kesi USA kwa kukutumia online lawyers, si unaweza kupata haki yako ya kuwatembelea watoto wako?

Kwani hii PI ikishatolewa kwani mahakama haina mamlaka kutengua?
 
Ukiwa na lawyer mzuri inawezekana
 
Mimi nilikuwa na hamu sana ya kuishi Mareni na kwa kuwa nilikuwa na pesa basi wakaomba pesa,
Nikajitutumua kuwa si mbaya hata nikitoa pesa ila tu niishi Marekani.

Basi nikampa pesa, vitu vya thamani mbalimbali kama malipo yako, lakini bado aliniuza nilipoingia Marekani mpaka leo sijapata kuona sura yake
 
Usijidanganye utafika huko ukisema we ni Shoga... one of my brotha lives in Sweden alinipa story siku moja tuko kwenye voice-call ya WhatsApp akaniambia kuna wajinga kadhaa wa kibongo wamefika wakadanganya wao wakimbizi wamekimbia kwa sababu wao ni gays wanataka kuuwawa... wakafanyiwa vipimo na mbali na vipimo wanakuwepo watu special wa kukujaribishia Dushe... tena Dushe kwelikweli

Mbona walisalimu amri! [emoji15][emoji23][emoji23][emoji23]

Wakarudishwa Bongo... tulikufa kucheka... kwahiyo ukiandaa kisingizio hakikisha ni kweli. Kama unafirwa make sure ni kweli hiyo michezo unayo na we kweli ni gay.

#nawasilisha
Haaahaaha...hapo pagumu sasa [emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kha! HAHAHA! Witness naanza kupata wasiwasi na wewe sasa... mbona unaanzisha ubishi ambao hauna hata mantiki?!

Unawajua wazungu vizuri wewe?! Acha kabisa! Waonage hivyohivyo tu hawa nguruwe [emoji28][emoji1487]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38] ila mbongo kazidi daah

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilikuwa na hamu sana ya kuishi Mareni na kwa kuwa nilikuwa na pesa basi wakaomba pesa,
Nikajitutumua kuwa si mbaya hata nikitoa pesa ila tu niishi Marekani.

Basi nikampa pesa, vitu vya thamani mbalimbali kama malipo yako, lakini bado aliniuza nilipoingia Marekani mpaka leo sijapata kuona sura yake
Ahaaa atleast ulifika,pole
 
Back
Top Bottom