Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Nilivyotelekezwa na rafiki yangu Queens Bridge, New York nikiwa sina hata 100 mfukoni

Wapopo huwa hawatupani mkuu. Sisi ndiyo wajinga tunalostishana sasa sijui ni roho mbaya au ni vipi? Ni bora mtu umwambie mtu hali halisi kuliko kumdanganya wakati uwezo wa kumsadia huna.
Kweli kabisaa
 
Story nzuri na ina mafunzo kwa vijana wenye vision .

Pia hustle la abroad lina heshima kubwa endapo tu unafanikiwa lkn ukishindwa ndo dharau znakuwa nyingi kwa street.

Usikate tamaa mkuu,mwanamke usimchukie take their weakness as an opportunity for ur hustling.

Ina maana siku iz ni mzee wa nyeto tu?
 
Kha! HAHAHA! Witness naanza kupata wasiwasi na wewe sasa... mbona unaanzisha ubishi ambao hauna hata mantiki?!

Unawajua wazungu vizuri wewe?! Acha kabisa! Waonage hivyohivyo tu hawa nguruwe 😅🙌🏾
Huwezi kumdanganya mzungu kitoto hivyo lazima wakupime na mzigo watakuomba tu,witness asijidanganye
 
Pole sana mkuu. Huyo Mudy White fala sana... Mimi niko Europe na nimeshasadia watu waliotoswa kama wewe. Jamaa walikuwa wanawa-promise mambo kibao wakishaingia wanawakimbia.
Mungu akuzidishie moyo mzuri na mwema na akubariki always!

Hopefully matunda yake unayaona kutoka kwa wale wanaokumbuka fadhila👊🏾
 
Story nzuri na ina mafunzo kwa vijana wenye vision .

Pia hustle la abroad lina heshima kubwa endapo tu unafanikiwa lkn ukishindwa ndo dharau znakuwa nyingi kwa street.

Usikate tamaa mkuu,mwanamke usimchukie take their weakness as an opportunity for ur hustling.

Ina maana siku iz ni mzee wa nyeto tu?
Napiga mzigo nasepa,nikioa ijumaa jumatatu naacha ahaaa
 
Wabongo ndio tabia zetu,Mungu akubariki sana mkuu kwa
Hongera sana mkuu,Mungu akubariki,watanzania ndio tulivyo,huwezi kuta watu from West Africa wanafanya ujinga huo
Kama huwa unasikiliza Hip-hop hasa za nyumbani Bongo Kuna ngoma moja ya Fid Q kuna mstari anasema "Sad-thruth... wabongo wengi hawapendani majuu"

Alimaanisha kitu
 
Wewe jamaa bana!!?
kwa hiyo siku ya kwanza ukafika Newyork
hukufanikiwa kukutana na jamaa yako.
Ukalala kitaani.
Siku ya pili ukajichanganya kitaa kwa shughuli za hapa na pale!!??
Siku ya tatu ukazaa na mzungu watoto wawili!?
Siku ya nne wakakurudisha bongo kama illegal migrant!?.
Hii kiboko hata kama summary hii sio summary.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Story nzuri na ina mafunzo kwa vijana wenye vision .

Pia hustle la abroad lina heshima kubwa endapo tu unafanikiwa lkn ukishindwa ndo dharau znakuwa nyingi kwa street.

Usikate tamaa mkuu,mwanamke usimchukie take their weakness as an opportunity for ur hustling.

Ina maana siku iz ni mzee wa nyeto tu?
Umeanza vizuri mwisho umeharibu sema salute sana Kwako 😅👊🏾
 
HEhehe! Ndo unavyofanyagwa hivyo Bi.nyani ngabu A.K.A Njabu ngabu

Watu kama wewe hata mkifa ardhi zinawakataa... mkizikwa mnatemewa baharini. Eti mnadai haki zenu 😂😂😂

shoga na lenyewe lina haki?!

Zumgymza facts wewe. Local State Police wana mamalaka ya kum deport Mhamiaji Haramu?
 
Hiyo summary yako ungejazia nyama kidogo.
Hapo chini mfano ungefafanua kidogo juu ya huyo jamaa yako wa Newyork aliyekukimbia ili watu waelewe ie hakuwahi kukutafuta tena ama na ww hukuangaika kumtafuta tena au vipi!?
Pili ungezungumzia swala la chuo. Mfano hata baada ya kupata vibarua bado pesa ilikuwa haitoshi kuingia chuo kulipa ada (tuition fee) ama ndio maisha uliamua kuyapeleka kivingine.
Tatu ungefafanua kidogo ulivyokutana na huyo mama wa kizungu mpaka mkawa wapenzi.
Mkuu hizi story hasa hizi za real life watu wanajifunza usichukulie simple simple.
Kazi ya umughaka hiyo anahadithia hadi alivompindua msukule na kumpiga vibao vya matako,jamaa ameenda straight!
 
Back
Top Bottom