Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
Kweli kabisaaWapopo huwa hawatupani mkuu. Sisi ndiyo wajinga tunalostishana sasa sijui ni roho mbaya au ni vipi? Ni bora mtu umwambie mtu hali halisi kuliko kumdanganya wakati uwezo wa kumsadia huna.