Nilivyoyaona maendeleo ya Tanzania baada ya kuwa Ulaya kwa zaidi ya miaka minne

Hahaha Tabia za Uswahili Kama kawaida yenu eti Danga langu .. Hahaha
wewe siyo mzungu pia bana usituzengue.tena sometimes unaweza kuwa primitive swahili man.
Wenzangu mimi ni kina jokate.
Marehemu Ruge,
nyarusare.
pichu kodada nk
Dr Mpoki wesubisya alimaliza mkataba Uswiss karudi Bongo MNH pale. Wazazi walikuwa huko.
Na bado...
Mbowe mdogo na mkubwa plus ndugu kibao. Leo tunakula nao vihepe huwezi kuwadhania.

Yaani hawa bana na wengine wengi tu. big up sana waliishi huko tena N/york village!
Angalia walikuwa njema huko! But walirudi hawana mashauzi km yako. Tena jokate alipo sasa!
ana shamba la mihogo heka kumi anashika jembe mwenyewe hasa yule mdada.
Na mimi ntarudi mda ukitimia.
 
Kuondoa ujinga zungumzia elimu
Kuondoa umaskini zungumzia utajiri
Kuondoa uadui zungumzia urafiki
Kuondoa ubaya zungumzia uzuri
Vinginevyo utasema Tanzania inaumaskini kuliko Marekani
 
You idiot;

You sound like a chicken whose head is literally routen!

Go fucken up you empty head it looks watermelonin!

Why are you smashing the topic to go the way your personality wants. If I say you're crazy , should I be wrong?


Maafaqaah imbecile
 
Unaongelea mashaal za mababu sisi tunaongelea Tanzania inapokwenda wewe
 
Wewe ni mpumbavu kama wapumbavu wengine mtumwa kabisa wewe ondoka nchini kwetu nenda usirudi hapa. Tuache na umaskini wetu nyani wewe.
Masikini bana mnapaniki[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwetu Mwanza. Nitapaongelea siku ingine. Lengo siyo kujionesha, ama kwamba napachukia nyumbani. TANZANIA NI KWETU. LENGO LANGU NI KWAMBA TUNATAKIWA KUJITATHMINI. KUDHANI TUMEFIKA KUNATUPOTOSHA.
Nimekuelewa
 
Unaongelea mashaal za mababu sisi tunaongelea Tanzania inapokwenda wewe
Kuangalia unapokwenda bila kuangalia ulipotoka? Hiyo huitwa "modernist fallacy", ya kushadadia mapya bila kuthamini ya kale. Ulaya yenyewe mnayoitumia kama mfano, hayo majengo yao unajua ni ya karne za ngapi huko? Lakini wanayatunza kweli kweli kwa kuthamini urithi wa mababu zao. Sasa nyie kalia kudharau vya kwenu.
 
Umeona na machinga wanavyoweka mabanda hadi city centre? Hujaona bado katikati ya jiji mamantilie wanapikia kuni wewe.... Dar tuko mbali zaidi ya wulaya
 
Uchambuzi mzuri sana ninakubaliana nawe 100%, kama hujaishi nchi zilizoendelea huwezi kugundua umaskini tulionao na akili mbovu za hao tunaowaita viongozi wetu.
 
Wewe unamchango gani na maendeleo ya nchi yako?huko unaposifia sio kwenu Bali raia wake walipajenga,acha ulimbukeni kusifia ukuta wa jirani wakati wakwako unabomoka.
 
We fala kabisa na mada zako rudi ulaya huko unapapoona kuna kunfaa tuache na nchi yetu Tanzania
 
Uko sahihi mkuu.

Tatizo la watanzania na africans wote ni kuridhika na umasikini.
Badala ya kutafuta solutions wao wanaridhika hivyo inapelekea kubaki hivyohivyo milele.
Na ndio sababu mpaka leo hakuna mabadiliko ya kueleweka.

Ona hata hizi comments zinaonyesha kuridhika na hali ilivyo badala ya kuchakata ubongo kutafuta solutions ili kutatua hizi changamoto.
Na sio wananchi tu bali hata viongozi.
(Hili nilishaliongelea mara nyingi kwenye mada zangu za kwanini africa ni masikini, ila leo nimepata kuona mifano hai hivyo nilikuwa sahihi)

Trust me kama ukiridhika na umasikini au hali mbaya uliyonayo sasa basi utabaki masikini wewe na kizazi chako chote mpaka dunia ipigwe na kimondo kingine.
 
Pia atembelee Soko kuu la Ndugaye kule Dodoma ambako wanyonge hawalitaki pamoja na serikali yetu tukufu kutumia mabilioni ya fedha kulijenga..
 
Mwenyewe juzi nimerudi kwetu KAHAMA.. nimekuta mambo sijaelewa kabisa..

Kwanza yule binti wa jirani yetu niliacha amezaa mtoto.. wakati mimi nimeondoka.. nilisikia amekuwa na amekuwa mtundu kweli.. hata babu yake anajisifia hapo nyumbani..

Ni upuuzi mtupu.. nimemkuta bado anajikojolea na ndio kwanza ameanza kusimama kwa kujiegemeza kwenye vitu.. hata kutembea bado.

Huku niliko kuna dogo namjua msafi hajikojolei.. ananyoa Ndevu vizuri.. anapiga gym kwa kifupi ni mtanashati sana.

Wazazi wa huko kwetu bado wana safari ndefu sana.. ni utopolo mtupu
 
Kwetu Mwanza. Nitapaongelea siku ingine. Lengo siyo kujionesha, ama kwamba napachukia nyumbani. TANZANIA NI KWETU. LENGO LANGU NI KWAMBA TUNATAKIWA KUJITATHMINI. KUDHANI TUMEFIKA KUNATUPOTOSHA.
Nimekuelewa sana ndugu, lakini kwa umbumbumbu na ushamba na ufinyu wa maono kwa baadhi ya wachangiaji humu watakukejeli na kukushangaa lakini umesema ukweli. Tanzania kama nchi inaongozwa kienyeji sana japo inasomesha wataalamu kwa kiwango fulani. Kwa analysis ya kawaida hakuna eneo unaloweza kusema tunafanya vizuri, labda mambo ya kupiga ramli tu.

Ukifika nchi kama Japan unaweza kudhani uko sayari nyingine kabisa lakini kumbe ni dunia hii-hii. Bahati mbaya viongozi wetu wamefika huko lakini sana sana waliweza kujifunza kula kwa kutumia uma (kula kuku kwa mrija), na kupanda magari ya kifahari tuu basi!
 
Mfano manzese ile na magomeni ni centre kabisa yani lakini ukicheki miundombinu na mpangilio wa majengo ovyo selikali inabidi ifanye renewish yani ibomowe nyumba zote ambazo zipo duni na hazina mpangilio alafu ijenge flats apo wale wenye ardhi husika wanapewa ground ya chini alafu za juu serikali inapangisha mapato yanaingia then tunakuja kinondoni ,mwananyamala,Tandale,Temeke yani dah Pesa ipo kabisa yani DSM.
 
Kwetu Mwanza. Nitapaongelea siku ingine. Lengo siyo kujionesha, ama kwamba napachukia nyumbani. TANZANIA NI KWETU. LENGO LANGU NI KWAMBA TUNATAKIWA KUJITATHMINI. KUDHANI TUMEFIKA KUNATUPOTOSHA.
Sikia mkuu huwezi kulinganisha Marekani na Tanzania kwa kuwa wenzetu wapo mbali kuliko sisi, Marekani sasa ni rais wa 50 na sisi tupo rais wa tano Marekani ilijengwa miaka 100 iliyopita huwezi kulinganisha na Tanzania nitaendelea kuipenda nchi yangu na ninatambua Tanzania itaendelea na kuwa kama nchi za ulaya ila kwa sasa Tanzania nailinganisha na mtoto wa miaka 5 (nikimaanisha utawala wa marais 5wamepita) na Marekani ni sawa na mzee wa miaka 50 (kwa kuongozwa na marais 50 kwa vipindi tofauti sasa mkuu penda chako thamini chako naipenda nchi yangu Tanzania na ninajivunia kuwa mtanzania.
 

Nimekaa zaidi ya 10 na huwa narudi once in a while. Sijajua unamaanisha Nini unapolinganisha nchi hizi tunazoishi na huku wanapotutolerate tu na rangi Hii. Kutembea kwako kulipaswa kuona kabisa kuwa Dar na sehemu nyingi zimebadirika kwa uzuri tu. Kuna muda mwezi wa kumi nilipitishwa njia moja sijui sana mitaa ya dar Lakini tukitoka Bagamoyo na Gari langu la utumwani BMW. Ein deutsches Auto. Nilishuhudia some of the best Houses. Na barabara nzuri tu ukilinganisha na miaka ya nyuma.

Nakumbuka Story za JPM alipokuwa waziri kutaka kubomoa maeneo ya ubungo na Pinda akamzuia. Dar Kuna maeneo ya namna Ile mengi sana. Je katika umaskini huu ni unsere Priorität kubomoabomoa.

Tanzania na nchi zetu za kiafrika matatizo ya kwanza la kudeal nayo ni tabia zetu katika maisha ya usafi, kutopenda mambo rahisi ukihusianisha na rushwa nk na maadili yetu katika mambo binafsi na umma Lakini yanayolenga ustawi wa nchi. Tangu nakua mtaani kulikuwa na utaratibu wa kusafisha mitaro. Lakini unaweza kukuta mtu anafunga huku na kufungua kuelekea kwa watu wengine. Wananchi nao wanagoma kila mtu kusafisha kwake. Hapo wew Mzee wa ulaya wa 4 years ndo ungeanza na familia yako na kutuambia Nini ulifanya.

Karne Hii unaposema au kuandika kitu Kiwe na maelekeo positive ya kubadilisha. Unabadilisha pale ulipoanzia. Zungumzia urithi unaodumu, tabia na namna zetu: Kupenda utajiri wa ghafla bila kufuata process za kikodi nk. Huku ulaya sio rahisi kuwa tajiri ila Standard ya maisha Ni ya kawaida na inakidhi mahitaji. Watu wanalipa sana kodi na kwao Ni utamaduni. Wazee wakishastaafu ndo hela ya kuchezea kidogo wanapata. La msingi hawa watu wanafanya sana kazi. Mpaka Bibi wa 85 years unakuta anakata nyasi nje ya nyumba yake. Hawawezi kukaa tu bure. It’s not in their blood. Lakini hapa viongozi Kama HItler waliwasaidia kidogo mana ilikuwa Ni kazi tu.

So ungetuambia: baada ya 4 years nimeona kwetu kuna mambo ya kufanyia kazi. Be positive and you will change the world. Haya Masnow Pia yanewafanya wawe makini na mazingira yao. Mana miezi karibu sita unaweza jikuta huwezi tumia ardhi. Na mwisho Hakuna kitu cha bure na watoto wanajua lazima Ufanye kazi kupata kitu maisha mwako. So upande mmoja kuna changamoto ya mfumo wetu wa Elimu na Upande wa pili jitihada zetu, and so Hapo utuambie uzoefu wako wa kukaa huku ulaya. Mengine hayo Ni majivuno mana Hakuna anayetegemea Ujerumani au oslo iwe Tansania.
 
kinywa cha mpumbavu hunena ya ujazayo moyo!

How comes human being sound like rotten chicken??

Are you mad???

Dats why you promote de living standard of your couer!!!they do take u to a ride cammmon dude!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…